Labda ckueleweka.
Nguvu ya bidhaa yeyote ipo kwenye soko lake. Iphone imefanikiwa kujitengenezea wadhifa ambao umeishawishi dunia kuwa hakuna simu yenye ubora n yenye uwezo wa kuzificha siri za mtumiaji kama iPhone, mfano, sote tunaamini kuiflash Samsung galaxy s10+ inawezekana ila tunaamini iPhone 10 haiwezekani kuflashika.
Pia, iPhone ndio brand pekee ambayo haisumbuliwi n viruses ndio tofauti n cm nyingine zoteee n computers kama sikosei. Hivi vitu vidogo vimeifanya jamii yetu kuamini kila mwenye pesa anastahiki Kutumia iPhone, ndio maana asilimia kubwa ya mastaa, viongozi n watu wenye nyadhifa mbali mbali wengi hutumia iPhone.
Ila Kwa upande wa pili, twitter haina mshiko kama iPhone. Nikimaanisha, Kati ya watu 10 Tanzania, utakuta aidha ni mmoja au hakuna kabisa anayeitumia twitter. Kingine, kila mtu anatamani akipata pesa aje Kutumia iPhone angalau mara moja tu ndani ya maisha yake, lakini hakuna yeyote mwenye ndoto ya Kuja kuitumia au kujiunga twitter sababu tuna watsup, fcbuk, imo, hii jamii forums, eskimi, wechat..nk, inamaana twitter ina perfect replacements ndani ya maisha yetu.
Je unadhani iPhone ina replacement yeyote duniani??? HAINA! Kwa hivyo, twitter ikitolewa kwenye iPhone, watu hawatoacha Kutumia iPhone zao bila kisa hazina twitter. Ila on the other hand, watu wataendelea kutumia iPhones bila ya twitter. Ukizingatia iPhone hutumiwa haswa n watu wakubwa, basi twitter ikiwapoteza watumiaji wa iPhone itaathirika pakubwa. So twitter kwa iPhone ni underdog maana twitter is just but a famous blog ila iPhone kwa sasa ni uti wa mgongo wa mawasiliano kwa zaidi ya 20% ya watumiaji wote wa cm kubwa duniani. So twitter bila iPhone inaweza kufa ila iPhone bila twitter maisha ndala tu kama kawaida