Elon Musk aendelea kuishutumu Apple kuwa inatishia kuiondoa Twitter kwenye program zake

hapana twitter inapatikana pia kupitia twitter.com
Ninaweza kuilimit cm yako isifungue page yeyote ile ya x au kufungua Facebook. Hapo uingie Google au u download an app bado hautoweza kufungua nilichokiblock kwenye cm yako. So hata ingepatikana kupitia jamii forums, developers wakiamua wanaweza kufanya lolote n yeyote asifanye chochote.

Tupo generation ya smart phones with high tech advancements, nothing is impossible in these freaking gadgets. Na you should change your mind, nyinyi ndionaoibiwa sana kimtandao😂😂
 
Musk Kama ana Akili akaiwahi INSTAGRAM ainunue........ tuone. Akitok huko ainunue Snaochat. Afunge hesabu
 
Kufunga domain ni impossible.. Kwa kuwa kuna VPN.. ukijua jins network packet zinakuwa handled out utanielewa.
 
Tofauti yangu n yako, mimi niongelea katika mtazamo ya viatu vya mtanzania. Cwez kuiongelea Korea maana hawayaangalii maisha katika angle moja n wa tanzania.
kwanza watanzania hajakuchagua kuwa msemaji wao

pili watanzania wanaotumia i phone hawafiki hata laki moja
tena wanaotumia wengi ni i phone 7 kushuka chini
hizo bei zake ni kama infinix tu
 
Kufunga domain ni impossible.. Kwa kuwa kuna VPN.. ukijua jins network packet zinakuwa handled out utanielewa.
huyo dogo hana akili anasema hakuna kitu impossible
hapo hapo anaelezea possible za kumzuia mtu kutumia twitter web
nabaki nacheka sana
halafu wakifeli shule wanasema wamefelishwa
 
huyo dogo hana akili anasema hakuna kitu impossible
hapo hapo anaelezea possible za kumzuia mtu kutumia twitter web
nabaki nacheka sana
halafu wakifeli shule wanasema wamefelishwa
Sasa wewe mwenye akili si ndiyo sasa utuonyeshe uwezo wa akili zako kwa kudadavua hapa hayo maswala kwa kina? Au kuwa na akili ni kukebehi mtazamo wa mwingine?
 
Sasa wewe mwenye akili si ndiyo sasa utuonyeshe uwezo wa akili zako kwa kudadavua hapa hayo maswala kwa kina? Au kuwa na akili ni kukebehi mtazamo wa mwingine?
unataka udadavuliwe nini ?
au unataka kuongopewa kama mnavyopenda uongo ?
we unafikiri trump ni mjinga kulilia twitter kuliko sisi tulio matakoni mwa dunia huku ?

kichwa bila akili ni mzigo kwa miguu
 
Mkuu, unataka kusema kuwa kama twitter itaondolewa kwenye programmes za i phone, watumiaji wa iphone watakuwa tayari kutumia mitandao ya facebook na instagram, hasa viongozi wakubwa wakubwa duniani kote? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
 
post ya mwanzo ya juu umetiririka vyema ila hapa ni pumba

kwamba developers wa Apple wapige pini domain ya twitter isipatikane kwa browser (ukiacha Safari )?
 
hakuna kitu kama icho, unapotumia mfano twitter.com unatumia safari hio ni another level of access, u can only block such access kama wewe ni mtoa huduma za internet na pia inategemea umeblock nn, you cant block it completely kwa sababu kama 1+1 =2 bas na 3-2 ni 1 na 2-1 =1 pia, hakuna njia ya kuthibiti twitter.com kwan teknolojia ya safari, chrome ama microsoft edge zmetengenezwa na watu wengine tafauti wewe unaichukua kama ilivo, hakuna sehem unaweza kuzima internet ya dunia nzima kwa sababu routes ni nyingi , request inaweza toka apaikaenda zanzibar kwanza then twitter ama ikatoka apa ikaenda mombasa kwanza you simply cant block it, if your so technical to block its ip ddress you can just do TUNNELING ama VPN can do the job vizuri
 
post ya mwanzo ya juu umetiririka vyema ila hapa ni pumba

kwamba developers wa Apple wapige pini domain ya twitter isipatikane kwa browser (ukiacha Safari )?
Apple wana mashauzi kinoma, vita ya Russian na Ukraine imekuchwa chanzo cha kuipiga hadi app ya Mt4.. Ambayo trader tuso husika na mgogoro ametuingiza nasi kwenye ugomvi.. Kuanzia siku hiyo nikapiga chini apple
 
huyu mwamba kuna mpango anasuka soon mtakuja kuona
 
Aaah! Utumwa huo, siku wameamka waanamua kutwanga ban kitu wote hamkipati na hakuna njia ya ku bypass.. Bora kutulia huku kwenye simu zinazo tumia android
jamaa wana complications za kijinga kinoma

ukitengeneza iOS app, mpaka ikubaliwe kule App Store, ni sawa na aliyeomba threesome ya watoto wakali wa UDBS na akubaliwe leo leo bila cash

procedures kibao kama unaomba uraia wa Marekani
 
😂😂😂😂 Kudunda au kupata hasara wakati una develope iOS ni kitu cha kawaida sana, unaweza jipinda kinoma alafu pwaaa, wakati android hawana ulasimu kama iOS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…