Elon Musk ainununua Twitter, atimua viongozi wa juu

Huwa ninamuona ana utoto flani. Kuna kipindi bwana alisema anapumnzika kutweet. Kwani aliweza basi ?Mara pap karudi Twitter. Kainunua Twitter ili kumkomoa Mark wa Meta.
Tatizo sio kumkomoa mark wa meta, usifikirie hapo tu dada.
Elon mwenyewe alishasema, Tatizo kuu ni free speech. maana social media kubwa zote zilikuwa zinamilikiwa na left wing- woke society ambao wao walikuwa wanafanya cencorship ya hali ya juu ili kupush propaganda zao za LGBTQ, feminism, liberitarian, nk.
Mtu akitokea kupinga hizo ideas wanaban kote,
Tumeona imefanywa kwa andrew tate, kanye west na wengine wengi.
Mpaka celebrities wengi walikuwa wanakgopa hata kufungua mdomo.

Ukiachana na censorship walikuwa wanamanipulate zile algorithms, ile content wanayotaka itrend ndio inakuwa recommended zaidi ili kubrain wash watu na ile wasioipenda inakuwa diminished ili isionekane kabisa,
Thats why youtube zile channel zinazoongea ukweli hazipati views wengi, zinakuwa demonetized, zinakuwa cencored au banned kabisa...on top of that Twitter walikuwa na robots wengi ambao kwamfano imetokea mtu amepinga ushoga twitter, utashangaa comments nyingi zinamuattack na kuutetea kumbe ni marobots..hapo mtumiaji wa kawaida anakuwa manipulated kuamini kuwa kumbe watu wengi marekani ndio wanawaza hivyo na yeye anachotwa na mob psychology kumbe ni ya marobots....Hali ilikuwa tayari mbaya sana.
Hata kwenye siasa, wakiona mwanasiasa hawampendi wa republican wanamfanyia hivyo.
Elon katangaza kuinunua tukashangaa wale woke celebrities wanaloose followers kwa mamilioni halafu wale conservatives wanagain followers kwa wingi.
So it means hata followers wengi walikuwa feki na manipulated ili ionekane watu wengi wanasapoti LGBTQ woke society.

Ndomaana sikuizi youtube haina ladha kama ile ya before 2015 maana creators wengi wanakuwa cencored sana, wengi waliacha kutengeneza content kabisa kwasababu hiyo.
Ndiomaana hata hollywood skuizi haina ladha maana kila movie wanataka kupush hizo agenda za kifeminist.

Saivi twitter itapata wafuasi wengi sana, Na itakuwa sehemu pekee kwenye free speech ambapo mtu anaweza kusema chochote bila kuhofia kuwa banned.
itatengeneza competition na creators wengi watahamia huko...Elon akiwa mjanja anaweza kutengeneza streaming ya twitter ili kuireplace youtube maana watu walishachoka sasa.
 
Hata JF pia inafanya cencorship.

Zile comments ambazo hawazitaki wanazihamishia page nyingine.
 
Yeah hilo ndio tatizo la hizi platforms.
Wakati wanaanza wanakuwa business oriented, wakijali wateja wao na wakijali experience bora zaidi kwa mtumiaji.
Kwahyo kunakuwa na uhuru wa ideas na jamii inajishape inavyotaka.

ila wakishapata power, wakishagain wafuasi wengi, hela wanapata, na wakawa na uhakika wameshamonopolize yani ni ngumu kwa mteja kuwaacha na hakuna serious competition, basi wanabadilika.
Wanaanza kuwa greedy, wanaanza kutaka kucontrol jamii inafikiria nini.
Wanaanza kutaka kucontrol kipi kiongelewe na kipi kisiongelewe. Wanaanza censorship na baning isiyo ya haki na uwazi.
 
Baada ya manunuzi, kuna watu kadhaa maarufu wameanza ku-tweet upuuzi ili kuijaribu hiyo agenda yake ya "free speech".
 
Hauwezi kuufikia huo ubilionea maisha yako yote mkuu. Labda umuandae mwanao.

Awe smart sana kama hao kina Musk,

halafu aondoke Bongo akaishi nchi za Magharibi huko kisha aje na idea inayohitajika dunia nzima pamoja.
Tz kilimo na manufacturing vitakupa ubilionea,na huhitaji kuwa smart Sana ugundue kitu
 
Tatizo sio kumkomoa mark wa meta, usifikirie hapo tu dada.
Elon mwenyewe alishasema, Tatizo kuu ni free speech. maana social media kubwa zote zilikuwa zinamilikiwa na left wing- woke society ambao wao walikuwa wanafanya cencorship ya hali ya juu ili kupush propaganda zao za LGBTQ, feminism, liberitarian, nk.
Mtu akitokea kupinga hizo ideas wanaban kote,
Tumeona imefanywa kwa andrew tate, kanye west na wengine wengi.
Mpaka celebrities wengi walikuwa wanakgopa hata kufungua mdomo.

Ukiachana na censorship walikuwa wanamanipulate zile algorithms, ile content wanayotaka itrend ndio inakuwa recommended zaidi ili kubrain wash watu na ile wasioipenda inakuwa diminished ili isionekane kabisa,
Thats why youtube zile channel zinazoongea ukweli hazipati views wengi, zinakuwa demonetized, zinakuwa cencored au banned kabisa...on top of that Twitter walikuwa na robots wengi ambao kwamfano imetokea mtu amepinga ushoga twitter, utashangaa comments nyingi zinamuattack na kuutetea kumbe ni marobots..hapo mtumiaji wa kawaida anakuwa manipulated kuamini kuwa kumbe watu wengi marekani ndio wanawaza hivyo na yeye anachotwa na mob psychology kumbe ni ya marobots....Hali ilikuwa tayari mbaya sana.
Hata kwenye siasa, wakiona mwanasiasa hawampendi wa republican wanamfanyia hivyo.
Elon katangaza kuinunua tukashangaa wale woke celebrities wanaloose followers kwa mamilioni halafu wale conservatives wanagain followers kwa wingi.
So it means hata followers wengi walikuwa feki na manipulated ili ionekane watu wengi wanasapoti LGBTQ woke society.

Ndomaana sikuizi youtube haina ladha kama ile ya before 2015 maana creators wengi wanakuwa cencored sana, wengi waliacha kutengeneza content kabisa kwasababu hiyo.
Ndiomaana hata hollywood skuizi haina ladha maana kila movie wanataka kupush hizo agenda za kifeminist.

Saivi twitter itapata wafuasi wengi sana, Na itakuwa sehemu pekee kwenye free speech ambapo mtu anaweza kusema chochote bila kuhofia kuwa banned.
itatengeneza competition na creators wengi watahamia huko...Elon akiwa mjanja anaweza kutengeneza streaming ya twitter ili kuireplace youtube maana watu walishachoka sasa.

Niliona Kanye kaongelea kuwa kuna watu wanacontrol media wanachotaka wao kiwe na kuwabrain wash watu
 
Huwa ninamuona ana utoto flani. Kuna kipindi bwana alisema anapumnzika kutweet. Kwani aliweza basi ?Mara pap karudi Twitter. Kainunua Twitter ili kumkomoa Mark wa Meta.
Yah hata mimi halafu ana na ujanja ujanja jana baada ya kuinunua aliingia makao makuu ta Twitter akiwa amebeba sink sijui alikuwa anamaanisha anaenda kuondoa uchafu ambao ndio hao viongozi aliowatumbua
 
Kuna nahau au msemo wa kiingereza unasema: "let that sink in". Yeye aliufanyia mzaha huo msemo kihalisia.
 
Huwa ninamuona ana utoto flani. Kuna kipindi bwana alisema anapumnzika kutweet. Kwani aliweza basi ?Mara pap karudi Twitter. Kainunua Twitter ili kumkomoa Mark wa Meta.
Sio utoto bali jamaa anaishi anavyotaka hapretend na hana persona yuko real na ndio maana ana mashabiki na wafuasi wengi wapenda ukweli na uhalisia. Mwenyewe anasema "I don't care what you think, f*ck that. I will get it done."

Ukiishi kwa mitazamo na mawazo ya watu basi tegemea uishi kwa stress na ufe masikini.
 
Tatizo sio kumkomoa mark wa meta, usifikirie hapo tu dada.
Elon mwenyewe alishasema, Tatizo kuu ni free speech. maana social media kubwa zote zilikuwa zinamilikiwa na left wing- woke society ambao wao walikuwa wanafanya cencorship ya hali ya juu ili kupush propaganda zao za LGBTQ, feminism, liberitarian, nk.
Mtu akitokea kupinga hizo ideas wanaban kote,
Tumeona imefanywa kwa andrew tate, kanye west na wengine wengi.
Mpaka celebrities wengi walikuwa wanakgopa hata kufungua mdomo.

Ukiachana na censorship walikuwa wanamanipulate zile algorithms, ile content wanayotaka itrend ndio inakuwa recommended zaidi ili kubrain wash watu na ile wasioipenda inakuwa diminished ili isionekane kabisa,
Thats why youtube zile channel zinazoongea ukweli hazipati views wengi, zinakuwa demonetized, zinakuwa cencored au banned kabisa...on top of that Twitter walikuwa na robots wengi ambao kwamfano imetokea mtu amepinga ushoga twitter, utashangaa comments nyingi zinamuattack na kuutetea kumbe ni marobots..hapo mtumiaji wa kawaida anakuwa manipulated kuamini kuwa kumbe watu wengi marekani ndio wanawaza hivyo na yeye anachotwa na mob psychology kumbe ni ya marobots....Hali ilikuwa tayari mbaya sana.
Hata kwenye siasa, wakiona mwanasiasa hawampendi wa republican wanamfanyia hivyo.
Elon katangaza kuinunua tukashangaa wale woke celebrities wanaloose followers kwa mamilioni halafu wale conservatives wanagain followers kwa wingi.
So it means hata followers wengi walikuwa feki na manipulated ili ionekane watu wengi wanasapoti LGBTQ woke society.

Ndomaana sikuizi youtube haina ladha kama ile ya before 2015 maana creators wengi wanakuwa cencored sana, wengi waliacha kutengeneza content kabisa kwasababu hiyo.
Ndiomaana hata hollywood skuizi haina ladha maana kila movie wanataka kupush hizo agenda za kifeminist.

Saivi twitter itapata wafuasi wengi sana, Na itakuwa sehemu pekee kwenye free speech ambapo mtu anaweza kusema chochote bila kuhofia kuwa banned.
itatengeneza competition na creators wengi watahamia huko...Elon akiwa mjanja anaweza kutengeneza streaming ya twitter ili kuireplace youtube maana watu walishachoka sasa.
Kwa maekezo haya nimeelewa kwanini mwanzoni wakati anataka kununua alisema ifanyike tafiti kujua idadi ya akaunti za Maroboti sikuelewa kwanini, sijui hii ishu iliishia wapi?
 
Inshort elon kafanya sacrifice maana kauziwa mbuzi kwenye gunia nayeye alikuwa analijua hilo kabisa.
Sema mambo ya investigations huwa yanachukua muda na alikuwa ashasaini kuwa atainunua kufikia jana.
Kwahyo asingenunua jana wangempeleka mahakamani na angetakiwa kulipa fine ya mabillioni.
Kwahyo kibiashara Elon anajua kabisa ameuziwa mzigo feki wenye robots wengi...ila akasema kuwa hajanunua kwasababu za kibiashara maana ni dumb investment. Kwasababu thamani yake sio sawa na uhalisia wake.
ndomaana akatweet kuwa hajanunua kwasababu za kibiashara ila kanunua kwasababu za kupambania uhuru wa speech.
 
Huwa ninamuona ana utoto flani. Kuna kipindi bwana alisema anapumnzika kutweet. Kwani aliweza basi ?Mara pap karudi Twitter. Kainunua Twitter ili kumkomoa Mark wa Meta.
Tatizo akili na maisha yenu wabongo yamejaa kukomoana ndio maana unafikir Elon kaamua kuchoma hiz $44bil kumkomoa Mark..unajitambua kwel wewe???
 
Tatizo sio kumkomoa mark wa meta, usifikirie hapo tu dada.
Elon mwenyewe alishasema, Tatizo kuu ni free speech. maana social media kubwa zote zilikuwa zinamilikiwa na left wing- woke society ambao wao walikuwa wanafanya cencorship ya hali ya juu ili kupush propaganda zao za LGBTQ, feminism, liberitarian, nk.
Mtu akitokea kupinga hizo ideas wanaban kote,
Tumeona imefanywa kwa andrew tate, kanye west na wengine wengi.
Mpaka celebrities wengi walikuwa wanakgopa hata kufungua mdomo.

Ukiachana na censorship walikuwa wanamanipulate zile algorithms, ile content wanayotaka itrend ndio inakuwa recommended zaidi ili kubrain wash watu na ile wasioipenda inakuwa diminished ili isionekane kabisa,
Thats why youtube zile channel zinazoongea ukweli hazipati views wengi, zinakuwa demonetized, zinakuwa cencored au banned kabisa...on top of that Twitter walikuwa na robots wengi ambao kwamfano imetokea mtu amepinga ushoga twitter, utashangaa comments nyingi zinamuattack na kuutetea kumbe ni marobots..hapo mtumiaji wa kawaida anakuwa manipulated kuamini kuwa kumbe watu wengi marekani ndio wanawaza hivyo na yeye anachotwa na mob psychology kumbe ni ya marobots....Hali ilikuwa tayari mbaya sana.
Hata kwenye siasa, wakiona mwanasiasa hawampendi wa republican wanamfanyia hivyo.
Elon katangaza kuinunua tukashangaa wale woke celebrities wanaloose followers kwa mamilioni halafu wale conservatives wanagain followers kwa wingi.
So it means hata followers wengi walikuwa feki na manipulated ili ionekane watu wengi wanasapoti LGBTQ woke society.

Ndomaana sikuizi youtube haina ladha kama ile ya before 2015 maana creators wengi wanakuwa cencored sana, wengi waliacha kutengeneza content kabisa kwasababu hiyo.
Ndiomaana hata hollywood skuizi haina ladha maana kila movie wanataka kupush hizo agenda za kifeminist.

Saivi twitter itapata wafuasi wengi sana, Na itakuwa sehemu pekee kwenye free speech ambapo mtu anaweza kusema chochote bila kuhofia kuwa banned.
itatengeneza competition na creators wengi watahamia huko...Elon akiwa mjanja anaweza kutengeneza streaming ya twitter ili kuireplace youtube maana watu walishachoka sasa.
Shkamoo mkuu.
Nimependa sana hiki umeeleza and honestly is has been an eye opening to me.
Thanks again
 
Back
Top Bottom