Elon Musk ainununua Twitter, atimua viongozi wa juu

Elon Musk ainununua Twitter, atimua viongozi wa juu

Wewe mwenye ukubwa mbona hakuna chochote cha maana ulicho achieve duniani.
Nimeachieve vingi mno. Yaani furaha yangu nikiwa naingia kwenye chumba cha mgonjwa mfano mgonjwa anaongea na simu ananiona kwenye kioo cha mlango naingia anamwambia anaeongea nae usikate huyu yupo kind. That's my achievement. Nikimaliza kumuattend mgonjwa ananiuliza na kesho ni wewe upo zamu ?Yaani that is my biggest achievement. Furaha yangu ni biggest achievement. Sihitaji kuwa billionea ndo nione kuwa nimeachieve in life. To be honest nimeachieve vingi mno kuliko huyo Elon mwenye stress. Anasema anaondoka twitter mara huyo anarudi, inaonyesha hawezi kujicontroll.Mara awaambie watu waondoke WhatsApp wajiunge telegram kisa tu anamuonea wivu Mark.Unajua kwa nini hana account insta wala fb wala WhatsApp ?Chuki zake kwa Mark .Iam sure jinsi Mark anavyopitia magumu kwa sasa .Elon atakuwa anafurahia mno.
 
Inshort elon kafanya sacrifice maana kauziwa mbuzi kwenye gunia nayeye alikuwa analijua hilo kabisa.
Sema mambo ya investigations huwa yanachukua muda na alikuwa ashasaini kuwa atainunua kufikia jana.
Kwahyo asingenunua jana wangempeleka mahakamani na angetakiwa kulipa fine ya mabillioni.
Kwahyo kibiashara Elon anajua kabisa ameuziwa mzigo feki wenye robots wengi...ila akasema kuwa hajanunua kwasababu za kibiashara maana ni dumb investment. Kwasababu thamani yake sio sawa na uhalisia wake.
ndomaana akatweet kuwa hajanunua kwasababu za kibiashara ila kanunua kwasababu za kupambania uhuru wa speech.

Kwahiyo Trump kina kanye watarudi [emoji23][emoji23][emoji23] twitter itachangamkaa haswaaa
 
Hauwezi kuufikia huo ubilionea maisha yako yote mkuu. Labda umuandae mwanao.

Awe smart sana kama hao kina Musk,

halafu aondoke Bongo akaishi nchi za Magharibi huko kisha aje na idea inayohitajika dunia nzima pamoja.
Unakaa jamii forum na kupoteza muda uwezi pata utajiri huo
 
Yah hata mimi halafu ana na ujanja ujanja jana baada ya kuinunua aliingia makao makuu ta Twitter akiwa amebeba sink sijui alikuwa anamaanisha anaenda kuondoa uchafu ambao ndio hao viongozi aliowatumbua
Ile kubeba sink in humor, sasa si kila binadamu ana akili ya kutafsiri humor au si kila mtu ana sense of humor.

Kubeba sink alimaanisha let it sink in. Sasa nakupa assignment , katafute maana ya sentensi isemayo
LET IT SINK IN
 
Elon🙌
 
Attachments

  • 1666979927303.jpg
    1666979927303.jpg
    353 KB · Views: 7
Unakaa jamii forum na kupoteza muda uwezi pata utajiri huo

Unafikiri akina Musk hawatumii social networks? Kutumia social networks si kupoteza muda (Panga ratiba zako vizuri) na kujifanya uko busy 24/7 hakutakupa utajiri wa kiwango cha Elon.
 
Nimeachieve vingi mno. Yaani furaha yangu nikiwa naingia kwenye chumba cha mgonjwa mfano mgonjwa anaongea na simu ananiona kwenye kioo cha mlango naingia anamwambia anaeongea nae usikate huyu yupo kind. That's my achievement. Nikimaliza kumuattend mgonjwa ananiuliza na kesho ni wewe upo zamu ?Yaani that is my biggest achievement. Furaha yangu ni biggest achievement. Sihitaji kuwa billionea ndo nione kuwa nimeachieve in life. To be honest nimeachieve vingi mno kuliko huyo Elon mwenye stress. Anasema anaondoka twitter mara huyo anarudi, inaonyesha hawezi kujicontroll.Mara awaambie watu waondoke WhatsApp wajiunge telegram kisa tu anamuonea wivu Mark.Unajua kwa nini hana account insta wala fb wala WhatsApp ?Chuki zake kwa Mark .Iam sure jinsi Mark anavyopitia magumu kwa sasa .Elon atakuwa anafurahia mno.
Taratibu dadaangu.

Kuna tofauti moja kubwa sana kati yako wewe na Elon Musk.

Wewe unahitaji kutuambia mafanikio yako, ila Musk hahitaji kufanya hivyo. We all know what he has done to this damn world. All humans are equal, but Elon Musk is "More equal" than other humans.

Alafu aliekuambia Elon Musk ako na stress ni nani? Wewe deal na wagonjwa wako (and I really appreciate your service), ila kijana Elon Musk sio mtu kwa sasa, amefikia kua taasisi. Wanapigana Ukraine na Russia, Musk is involved through his satellite services. Talking about global free speech, amevunja kibubu 44 billion USD ili walimwengu tubwabwaje kwa uhuru.

Utakua mwehu kama bado utaamini you have achieved more than him!

Pass my humble greetings to your patients, wish them a quick recovery on my behalf!
 
Twitter Inc. sasa inamilikiwa na Elon Musk, huku vyombo vingi vya habari vikiripoti kwamba mauzo ambayo yalikuwa yakitarajiwa kwa muda mrefu yalikuwa yamefungwa rasmi.

Gazeti la Wall Street Journal, Washington Post na mengine yaliripoti, kulingana na vyanzo ambavyo havijatajwa, kwamba watendaji wakuu wa Twitter TWTR wamefukuzwa kazi akiwemo Mtendaji Mkuu (CEO) Parag Agrawal, Afisa Mkuu wa Fedha (CFO) Ned Segal na Vijaya Gadde, mkuu wa sera za sheria ,uaminifu na usalama.

Ununuzi huo unamaliza miezi kadhaa ya mabishano ya kisheria baada ya Musk, bilionea Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla Inc. TSLA na SpaceX na mtumiaji wa mara kwa mara wa Twitter, kujitolea kununua Twitter mnamo Aprili. Baada ya kufikia makubaliano na bodi ya Twitter kuinunua kampuni hiyo ya mitandao ya kijamii kwa dola bilioni 44, Musk alijaribu kurejea kwenye mpango huo na Twitter ikamshtaki. Mwisho wa kuinunua Twitter ilikuwa Ijumaa (yaani leo) la sivyo angekabiliwa na kesi.

Alhamisi asubuhi, Musk aliashiria mpango ulikuwa karibu kukamilika wakati alipotuma taarifa iliyolenga kuwahakikishia watangazaji, ambao baadhi yao walikuwa na wasiwasi kuhusu mipango yake ya udhibiti wa maudhui. Musk amesema moja ya motisha zake za kununua jukwaa hilo ni kuhusiana na malalamiko kuhusu udhibiti, hasa kutoka kwa watu ambao wamepigwa marufuku kwa sababu wamekiuka masharti ya huduma ya Twitter.

"Twitter ni wazi haiwezi kuwa hali ya bure kwa wote, ambapo chochote kinaweza kusemwa bila matokeo!" Musk alisema katika taarifa yake kwa wanahabari Alhamisi. Twitter haikurudisha ombi la maoni mara moja Alhamisi.

Hisa za Twitter zimeongezeka kwa 26% katika mwezi uliopita, na kufunga Alhamisi kwa $ 53.70 bilioni, karibu na bei ya hisa ya $ 54.20 bilioni ambayo Musk alikubali kulipa mwezi wa Aprili.

MarketWatch.
Sababu ya kupata Twitter ni kwa sababu ni muhimu kwa mustakabali wa ustaarabu kuwa na eneo la kawaida la mji wa kidijitali, ambapo imani mbalimbali zinaweza kujadiliwa kwa njia nzuri, bila kutumia vurugu,” Musk aliandika. "Kwa sasa kuna hatari kubwa kwamba mitandao ya kijamii itagawanyika katika vyumba vya mwangwi vya mrengo wa kulia na kushoto ambavyo vinazalisha chuki zaidi na kugawanya jamii yetu."
 
Inshort elon kafanya sacrifice maana kauziwa mbuzi kwenye gunia nayeye alikuwa analijua hilo kabisa.
Sema mambo ya investigations huwa yanachukua muda na alikuwa ashasaini kuwa atainunua kufikia jana.
Kwahyo asingenunua jana wangempeleka mahakamani na angetakiwa kulipa fine ya mabillioni.
Kwahyo kibiashara Elon anajua kabisa ameuziwa mzigo feki wenye robots wengi...ila akasema kuwa hajanunua kwasababu za kibiashara maana ni dumb investment. Kwasababu thamani yake sio sawa na uhalisia wake.
ndomaana akatweet kuwa hajanunua kwasababu za kibiashara ila kanunua kwasababu za kupambania uhuru wa speech.
Inabidi afanye kazi ya ziada sana,kama amedhamiria ataweza,maana baada ya kutweet 'the bird is free nowe' jamaa wa Jumuia ya Ulaya wakamwambia ndege wako afuate sheria zetu tu vinginevyo atakumbana na kibano.
 
Hahah kwahyo saivi EU/ UN inaana kufuatilia content za mitandao ya kijamii?
 
Huwa ninamuona ana utoto flani. Kuna kipindi bwana alisema anapumnzika kutweet. Kwani aliweza basi ?Mara pap karudi Twitter. Kainunua Twitter ili kumkomoa Mark wa Meta.
Rahisi kumiliki but atakapoanza kuitwa congress ndio atajua mkono wa serikali utamuumiza pakubwa..

Ana mizaha na utoto fulani mwingi

Zack alisiginwa na congress hana hamu yupo kama hayupo…
 
Rahisi kumiliki but atakapoanza kuitwa congress ndio atajua mkono wa serikali utamuumiza pakubwa..

Ana mizaha na utoto fulani mwingi

Zack alisiginwa na congress hana hamu yupo kama hayupo…
Elon yeye anasema twitter itakuwa na uhuru watu waandike wanavyotaka.Kama ulivyosema kweli anajidanganya kwanza anaweza sababisha twitter iblokiwe nchi nyingi.Unajua Meta kuna limits otherwise kina Mange angekuwa hafungiwi insta. Sasa Elon anataka iwe kama jalala watu watukane wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom