Elon Musk ametuletea Smartphone ambazo zipo juu zaidi ya iPhone za huyu bwana Steve Jobes?

𝚉𝚒𝚕𝚎 𝚣𝚊 𝚁𝚠𝚊𝚗𝚍𝚊 𝚣𝚒𝚖𝚎𝚒𝚜𝚑𝚒𝚊 𝚠𝚊𝚙𝚒?
 
Huo mpango ndio nausoma sasa, ila ninacho elewa ni kuwa Elon Musk ni ana akili sana yule mzee.
 
haswaaa ana ma project ya hatari, kwanza tu hayo magari aliyotengeza ya kutumia umeme ni shi shidaa!!
 
Back
Top Bottom