Kwenye Tesla event ya tar 10 mwezi October California iliyopewa jina la “We Robot”, Elon Musk, CEO wa Tesla, amezindua magari ya kukodi yanayojiendesha yenyewe, Cybercab na Robovan.
View attachment 3121468
Cybercab ni gari dogo yenye gull-wing door isiokuja na steering wheel wala pedal za breki wala mafuta, itakayofanya kazi ya robotaxi na itauzwa kwa chini ya $30,000 tu.
View attachment 3121469View attachment 3121470
Gharama ya kukodi ni cent 20 kwa kila 1.6 km tu.
View attachment 3121471View attachment 3121472
Elon pia akazindua van inayoitwa Robovan ambayo inaweza kubeba hadi watu 20, ambayo gharama zake itakua cent 5-10 kwa kila kilometa 1.6 hivi.