Bro nimechukua kitu hapo,I second thisKwa kweli kwa nature ya afrika nasema kuwa ni ngumu sana au ni kama haiwezekani kufika walipofika hawa wenzetu,safari unaona kabisa ni ndefu na yenye miba huku tukizungukwa na simba wakali....ulafi, tamaa, ubabe wa ajabu ndo yote hayo waafrika daaaahh so sad kwa kweli wenzetu wamefanikiwa na niwaachie iki kitu tu "when you control your thoughts you control your mind, when you control your mind you control your life, once you reach a stage of being in a total control of your life you became the master of your own destine"
Ninachomaanisha, alicho nacho si pesa kwenye akaunti zake, bali ni shares/stocks. Nadhani umenielewa, leo akisema auze shares zako zote ili apate cash akaweke benki, hatopata hata robo ya huo utajiri unaotajwa, nasema uongo?Anakuja kuwa tajiri wa kudumu kwa sababu kumbuka dunia inakuja kuhama kutoka kwenye kutumia magari ya mafuta kwenda kwenye kutumia magari ya umeme na yeye ameshawahi kwenye soko tayari.Maana yake makampuni yatakayokuja kushindana nae yatapata changamoto kubwa sana!
Always have been, sio sasa hivi na sio mimi tu, hata Musk anawaza hicho hicho, au kwako meal ni ugali tu?Ndiyo mkuu? Unachotakiwa saaa hivi weww is to think where your next meal will come from
Ndo hivyo mzee wa kazi ..na mimi nataka kuwa kama Elon musk..[emoji3][emoji3][emoji3] au nasema uwongo ndugu zangu..Ule uzi uliodanganya watu upo spain.
kama umezaliwa August.. na 2019 ulikuwa 25 basi mpaka 2021 August ndo ungefikisha hiyo 27.
Yani mtu unakuwa na hela nyingi mpaka zinakuzeesha...!Namjua kwamba ni mzaliwa wa South Africa Na Technology zake. Issue ni huo utajiri wake
ElezeaNinachomaanisha, alicho nacho si pesa kwenye akaunti zake, bali ni shares/stocks. Nadhani umenielewa, leo akisema auze shares zako zote ili apate cash akaweke benki, hatopata hata robo ya huo utajiri unaotajwa, nasema uongo?
Mimi nauza juice na siyo masikini...acha kudharau wauza juice wewe...[emoji3][emoji3][emoji3]Hafanyi biashara na maskini mzee, huyu jamaa anakodisha mitambo ya kwenda angani kwa makampuni makubwa kama NASA etc, ulitengemea umskie anauza juice?
Alisema auze hizo hisa kuna atakaye nunua??Ninachomaanisha, alicho nacho si pesa kwenye akaunti zake, bali ni shares/stocks. Nadhani umenielewa, leo akisema auze shares zako zote ili apate cash akaweke benki, hatopata hata robo ya huo utajiri unaotajwa, nasema uongo?
Kweli.Point ya msingi hapa ni kwamba sie waafrika in general tunafanya survival mode developements.
We dnt value wasomi...tunawachukulia poa. Hamna nchi iliyoendelea duniani bila kuwathamini wanasayansi na mchangao wao.
Wenzetu wakikuona weee kichwa wanakwambia uraia huu hapa braza njoo tupigie kazi huku.
Kwanini wasinunueAlisema auze hizo hisa kuna atakaye nunua??
nshaanza kudoubt hata hayo matunda huuzi wewe[emoji16]...hii mitano inapagawishaNdo hivyo mzee wa kazi ..na mimi nataka kuwa kama Elon musk..[emoji3][emoji3][emoji3] au nasema uwongo ndugu zangu..
nipo mimiAlisema auze hizo hisa kuna atakaye nunua??
Hahahahah sipati picha pengine ningepoa tu maana kila kitu katika maisha ningeafford.Mzer ungekuwa na huo mpunga vipi ππ
Yani.. kuna ka raha flani hivi.. unge kakosaa. Kila kitu kikiwa ndani ya uwezo wako.. na unakipata anytimw kuna raha inapunguaHahahahah sipati picha pengine ningepoa tu maana kila kitu katika maisha ningeafford.
Sindio maana wana donate funds huku kwetu. It makes them feel better. Ni kweli angalia mtu akiwa hana kazi na akiwa na kazi nzuri!Yani.. kuna ka raha flani hivi.. unge kakosaa. Kila kitu kikiwa ndani ya uwezo wako.. na unakipata anytimw kuna raha inapungua
Ningepaki kila aina ya mkoko yani.. ππ.. kwangu ningeweka bonge la lounge la 7 star.. tunashinda na masela tunakula raha.. bata batani tu..Sindio maana wana donate funds huku kwetu. It makes them feel better. Ni kweli angalia mtu akiwa hana kazi na akiwa na kazi nzuri!
Furaha iko mwanzoni ukianza kununua vitu ambavyo ulikuwa unavitaka ila ukivizoea its no longer fun! Inakuwa kawaida tu. Raha ni ile ari ya kujichanga ununue kitu kisha unafanikisha. By the end possessions ukiwa nazo nyingi basi unajiona kama kuna kitu kimepungua.
Ukishaweka hilo dah, wahuni wote ndani πππ mwendo wa heineken na mama kali kali. Tukipindua ni Hennessy na fegi mara maji kidogo ile kikulungwa.Ningepaki kila aina ya mkoko yani.. ππ.. kwangu ningeweka bonge la lounge la 7 star.. tunashinda na masela tunakula raha.. bata batani tu..
Kama GINIMBI vile na wana wake.. ππUkishaweka hilo dah, wahuni wote ndani πππ mwendo wa heineken na mama kali kali. Tukipindua ni Hennessy na fegi mara maji kidogo ile kikulungwa.
Hahahah sawa papaa GINIMBIKama GINIMBI vile na wana wake.. ππ
Sio kweli.Nasikia huyu naye ni School drop out aliacha shule akiwa darasa la 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]