Wanabaki kutupigia kelele tu humu badala wakatafute pesa. Akili za kuoa hawana hata za hela!! Kwani wamemkosea nini kikubwa hivyo Mungu!!!According to title.
Kwahiyo kwakuwa Elon haoi, na wewe usioe?? Umeshikiwa akili au?
Mbona babu yako kafa na wewe hujamuiga ufe pia?
BTW ndoa ni kwa wenye akili timamu
Kila sku Atoto anawakumbusha.
Unamaanisha Yesu hakuwa na akili timamu?According to title.
Kwahiyo kwakuwa Elon haoi, na wewe usioe?? Umeshikiwa akili au?
Mbona babu yako kafa na wewe hujamuiga ufe pia?
BTW ndoa ni kwa wenye akili timamu
Kila sku Atoto anawakumbusha.
We ndio haunaUnamaanisha Yesu hakuwa na akili timamu?
Sio sifa mkuuNina watoto 6, kila mtoto na mama yake, wote ni wazaliwa wa kwanza
Wazazi wako hawakuoana?Mie navyoona waliooa wake zao wanashobokea watu wengine ntaendelea na utaratibu wangu wa kuchakata mbususu tu kwa kweli. Imagine mke wa mtu anakuomba hela ya lotion unamwambia si una mume anakwambia hayo hayakuhusu we na mie tutamalizana kikubwa.
Hahahaha. Kuna viumbe wana reasoning za ajabu sana.We ndio hauna
NAKAZIAWanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha
Mbona kuhusu pesa za Elon hazungumzii,aige vyote basiAccording to title.
Kwahiyo kwakuwa Elon haoi, na wewe usioe?? Umeshikiwa akili au?
Mbona babu yako kafa na wewe hujamuiga ufe pia?
BTW ndoa ni kwa wenye akili timamu
Kila sku Atoto anawakumbusha.
Ni historia. Jifunze kutofautisha matukio halisi na sifa za kijingaSio sifa mkuu
Kwa stage alio fikia elon hawezi kuoa, kwa sababu anaogopa mtafaruko utakao tokea endapo kitaumana. Refer Jeff bezos.Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10.
Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha. Kwa mwaka piga mimba hata 3 sio unakaa unasubiri mtoto kila baada ya miaka mi3.
[emoji23][emoji23]According to title.
Kwahiyo kwakuwa Elon haoi, na wewe usioe?? Umeshikiwa akili au?
Mbona babu yako kafa na wewe hujamuiga ufe pia?
BTW ndoa ni kwa wenye akili timamu
Kila sku Atoto anawakumbusha.
Kuna shida gani kuzaa sanaMaskini ndo wanaoa zaidi, na kuzaa watoto kama uzao wa panya..