Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Wanabaki kutupigia kelele tu humu badala wakatafute pesa. Akili za kuoa hawana hata za hela!! Kwani wamemkosea nini kikubwa hivyo Mungu!!!According to title.
Kwahiyo kwakuwa Elon haoi, na wewe usioe?? Umeshikiwa akili au?
Mbona babu yako kafa na wewe hujamuiga ufe pia?
BTW ndoa ni kwa wenye akili timamu
Kila sku Atoto anawakumbusha.