Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Wana malengo ya muda mrefu, usifikiri kujenga mji kwenye mwezi ni kazi nyepesi..Huyu jamaa ahadi zake huwa nazisoma kama ratiba ya daladala za mbagala.
Kafeli kuelekea Mars akaona aibu, sasa hivi anasingizia mwezi upo karibu, endelea kuamini hivyo hivyo, utakufa na hakuna kitu atakamilisha.Wana malengo ya muda mrefu, usifikiri kujenga mji kwenye mwezi ni kazi nyepesi..
Musk huo uwezo anao, ana uthubutu na haogopi kujaribu...
Kafeli kuelekea Mars akaona aibu, sasa hivi anasingizia mwezi upo karibu, endelea kuamini hivyo hivyo, utakufa na hakuna kitu atakamilisha.
Hiyo inaitwa space race hype na Musk ni bingwa sana wa kuitumia.Hasingizii ni kweli mwezi upo karibu na hayupo mwenyewe kampuni zingine mpaka za china zina race toward moon minerals
wa kiwango cha kutisha, hayo anasema ili tu share za kampuni yake X zipandeTapeli
Wewe unafikiri kujenga mji kwenye Mars ni kama kujenga choo...Kafeli kuelekea Mars akaona aibu, sasa hivi anasingizia mwezi upo karibu, endelea kuamini hivyo hivyo, utakufa na hakuna kitu atakamilisha.
Mkuu taja jina la Hicho kitabu tule madiniWewe unafikiri kujenga mji kwenye Mars ni kama kujenga choo...
Kupeleka tu kilogram moja ya mzigo kwenye mwezi inafika dola milioni moja...
Engineers wa NASA huwa wanahesabu vitu vinavyokwenda huko kwenye space kwa grams, kuna muda walisema hata kalamu ama karatasi wanahesabu... na wanakataza watu kwenda na vitu ambavyo havina maana.. kuongezeka uzito kidogo na gharama inaongezeka ya fuel ya chombo...
Huko kwenye hio miji wapeleke maji, wapeleke vifaa vya ujenzi unafikiri ni rahisi...
Mimi nilifahamu Musk angekuwa tajiri wa kwanza duniani kabla hata hajawa, niliwaambia rafiki zangu zamani sana kwamba Musk atakuwa tajiri wa kutisha , baada ya miaka mitatu ama minne ikawa hivyo...
Nilisoma kitabu chake, jamaa ana uthubutu na ni mpambanaji...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000s kabla ya 2002 ambapo space x ilianzishwa.. Musk alisafiri kwenda Moscow mara tatu..
Musk alikwenda Russia, Moscow, akiwa na nia ya kununua refurbished ICBMs.. intercontinental ballistic missile ili azitumie kama rocket na kuzirusha kwenda kwenye Mars akiwa na lengo la kufanya jaribio la greenhouse kwenye Mars apande mimea huko... aliita Mars Oasis... lengo kuu ilikuwa kufanya msukumo ili watu wafanye tafiti mbali mbali kwenye Mars...
Baada ya kufika hapo Moscow alikutana na wataalamu wa kirusi wa masuala ya rocket, wakakaa kwenye chumba cha mkutano, Musk akiwa na wenzake mazungumzo hayakwenda vizuri..
Kwanza wale Warusi walikuwa wanakunywa vodka na wakizungumza kwa kejeli wakimuita Musk bwana mdogo na wakitumia neno 'boy' kwa dharau.. jamaa walikuwa wamechangamka na wanaitandika vodka ipasavyo..
Katika moja ya mkutano, chief designer wa hizo ICBMs za kirusi alimtemea mate Musk kwenye kiatu au karibu na kiatu, waliona hana uelewa wowote wa rockets na ni kijana mdogo ambae waliona ni kama wanapoteza muda kuzungumza nae, miaka hio Musk alikuwa kwenye 30s, waliona kama anawafundisha kazi...
Ilipofikia kwenye kuzungumza biashara , Musk aliwaambia anahitaji ICBMs tatu, Warusi wakamuambia kila moja itabidi alipie 8 million USD, Musk alipotaka ku negotiate , jamaa walimuambia bwana mdogo huna pesa..
February 2002 baada ya bwana Musk kukutana na kejeli, kudhalilishwa ikiwemo kutemewa mate aliondoka akiwa amefadhaika sana na ilimuuma sana...
Akiwa kwenye ndege 2002 February akirudi USA, kwenye ndege alifungua laptop yake na kuanza kupanga namna atakavyoweza kutengeneza rockets zake mwenyewe, Akagundua akitengeneza rockets zake binafsi atatumia gharama kidogo zaidi...
Miezi michache baadae May 2002, Space X inaanzishwa... wale aliokuwa kuwa nao kuna mmoja alikuwa anafanya kazi NASA alisema kuhusu tukio la Musk kutemewa mate 'the spit that launched a thousand spaceships'
Ukija kufuatilia jamaa alivyopitia wakati mgumu katika kupunguza gharama za ku refurb rockets utafahamu ana uthubutu..
Space X ndio wa kwanza kufanya rocker inakwenda kupeleka mzigo angani halafu inarudi inatua vertical, hii ilipelekea gharama za ku refurb kuwa ndogo zaidi...
Hivyo Musk fuatilia historia yake, usifikiri hapo alipofika alichipua ghafla tu kama uyoga.. Majaribio ya space X kwenye rockets ilibaki kidogo sana afilisike lakini hakukata tamaa... mpaka akaweza..
Hiyo historia yako ndio inathibitisha hoja yangu.Wewe unafikiri kujenga mji kwenye Mars ni kama kujenga choo...

Hiki ndio anachokifanya siku zote, kuna watu wanaamini hicho kitu kitafanyika, kichekesho kwa kweli.wa kiwango cha kutisha, hayo anasema ili tu share za kampuni yake X zipande
Yyeye anaona huku ndiyo kusikojulikanaWataalamu wetu wa uchumi hapa tz mnashindwa kumshawishi uyo jamaa kuja kuje uku kwetu badala kwenda kupoteza pesa uko kusipojulikana?
Space X ilikuwepo 2002 , wewe hukuifahamu, mmekuja kuifahamu hapo miaka ya 2015 baada ya kuanza kurusha rockets...Hiyo historia yako ndio inathibitisha hoja yangu.
Musk ni mtu wa kubadili gia angani. Mwaka 2002 alitaka kununua makombora ya Urusi kupeleka panya Mars. Baadaye akasema Starship itapeleka watu Mars ifikapo 2024. Sasa hivi tuko mbele kabisa huku, na bado hakuna binadamu hata mmoja aliyeenda Mars, na ghafla anageuka anasema twendeni mwezini kwanza..
Narudia kukwambia tena wewe na watoto wako wote mtakufa na hakuna kitu kitafanyika.
Hiyo historia yako ndio inathibitisha hoja yangu.
Musk ni mtu wa kubadili gia angani. Mwaka 2002 alitaka kununua makombora ya Urusi kupeleka panya Mars. Baadaye akasema Starship itapeleka watu Mars ifikapo 2024. Sasa hivi tuko mbele kabisa huku, na bado hakuna binadamu hata mmoja aliyeenda Mars, na ghafla anageuka anasema twendeni mwezini kwanza..
Narudia kukwambia tena wewe na watoto wako wote mtakufa na hakuna kitu kitafanyika.
Nonsense!Space X ilikuwepo 2002 , wewe hukuifahamu, mmekuja kuifahamu hapo miaka ya 2015 baada ya kuanza kurusha rockets...
Toka 2002 mtu anapambana afikishe rockets angani hadi anaweza baada ya miaka halafu unachukulia vitu poa...
Amesema suala la Mars lipo pale pale, ila wanawekeza nguvu zaidi kwenda mwezini kwanza...
Ndio maana nakuambia projects za angani si kama ujenzi wa nyumba..
Kwamba akisema tunakwenda Mars basi miaka mitatu baadae wamefika Mars na wamejenga mji...
Inachukua muda.. tena si kidogo..
Wabongo ndio maana hamfiki popote, akili zenu huwa zipo locked 🔒 tayari, ukifikiri kitu flani ni kigumu hakiwezekani unafikiri kwa mwingine hakiwezekani..
Wenzako unachoona wewe hakitowezekana wao ndipo wanaona njia ya mafanikio.. kwenye mlango ulioandikwa PUSH, mwenzako anauvuta mpaka unafunguka...
Kalia hayo hayo..