Aisee 🤣🤣🤣 my friend mimi sichambi nakupa vyuma ambavyo hauta sahau na utaishiwa kunishtaki kwa mods nimekudhalilisha tuMimi ni mshenzi kama wewe...tunaenda sambamba yani bampa to bampa ww si unaleta pigo za kina delicious kuchambana na ke...
Basi sawa let us go
Makebo sijui ndo nini kama unayo na ww mpaka yalainike vizuri
Hii kitu uwaambie CCM wanaokuahidi barabara, maji na madawati kila uchaguzi.Kafeli kuelekea Mars akaona aibu, sasa hivi anasingizia mwezi upo karibu, endelea kuamini hivyo hivyo, utakufa na hakuna kitu atakamilisha.
Nishtaki?? 😆😆😆mods wenyewe waatamua la kufanya inavyostahili kama ni mm au ww...hebu shusha vyuma nione...sidhani kama una silaha za nyuklia kama zangu...Aisee 🤣🤣🤣 my friend mimi sichambi nakupa vyuma ambavyo hauta sahau na utaishiwa kunishtaki kwa mods nimekushalilisha tu
Bahati mbaya hayo mambo nilisha staafu na unajua moto wangu kabisa.. 😂Nishtaki?? 😆😆😆mods wenyewe waatamua la kufanya inavyostahili kama ni mm au ww...hebu shusha vyuma nione...sidhani kama una silaha za nyuklia kama zangu...
Utadhalilika wewe unaeutaka u platnum member
Umeishiwa.....Bahati mbaya hayo mambo nilisha staafu na unajua moto wangu kabisa.. 😂
Kama unataka vita niambie tukutane wapi tukapiganie chumbani
Utanichukia bure tu humu ndani na sitaki hilo litokeeUmeishiwa.....
Hehehehee 😄😄🫠 yamekua hayoUtanichukia bure tu humu ndani na sitaki hilo litokee
Nimeokoka shetani tokaHehehehee 😄😄🫠 yamekua hayo
Muda mwingine ni upuuzi tuu kubishana kila kitu tusimsingizie shetani...Nimeokoka shetani toka
Sasa kwa mfano mimi nimeweka zangu mada nzuri alaf kitu linatoka huko lina weka utumbo ili Lopate likes,, hilo si linakuwa limetumwa na shetani kabisa?Muda mwingine ni upuuzi tuu kubishana kila kitu tusimsingizie shetani...
Unapokea tuu yote unayopenda kusikia na usiyopenda labda kama amekutusi...Sasa kwa mfano mimi nimeweka zangu mada nzuri alaf kitu linatoka huko lina weka utumbo ili Lopate likes,, hilo si linakuwa limetumwa na shetani kabisa?
Mimi sio mashine bwanaUnapokea tuu yote unayopenda kusikia na usiyopenda labda kama amekutusi...
Jaribu kujicontrol....unawezaMimi sio mashine bwana
How?Jaribu kujicontrol....unaweza
Woh....How?
Lala bwana naona uko ndotoniWoh....
Waambie wewe.Hii kitu uwaambie CCM wanaokuahidi barabara, maji na madawati kila uchaguzi.
Tapeli
Kwanini unasema hili ni suala la imani, wanasayansi wameshagundua kwamba Helium 3 inaweza kutumika kama source of energy, Ugumu uliopo ni namna ya kuzalisha hio nishati kwa faida, ambacho ndicho kitu nasema kitapatiwa ufumbuzi.. Ndio maana nimekupa mfano wa transistors , mfano wa ENIAC, mwanzoni wanasayansi waligundua silicon ingeweza kutumika kama semiconductor, mtihani ulikuwa gharama na namna ya kui purify...Wewe uko excited kiimani na story ya science fiction inayo inspire, bila kukubali changamoto za uhalisia, kuwa na path to product wala timeline.
Wewe ni muumini wa teknolojia. This is actually unscientific.
Umesema una imani na Elon Musk.Kwanini unasema hili ni suala la imani, wanasayansi wameshagundua kwamba Helium 3 inaweza kutumika kama source of energy, Ugumu uliopo ni namna ya kuzalisha hio nishati kwa faida, ambacho ndicho kitu nasema kitapatiwa ufumbuzi.. Ndio maana nimekupa mfano wa transistors , mfano wa ENIAC, mwanzoni wanasayansi waligundua silicon ingeweza kutumika kama semiconductor, mtihani ulikuwa gharama na namna ya kui purify...
Hujaelewa nini hapo ?
Sizungumzii imani nazungumza sayansi, He3 leo hii ikipatikana wanaweza itumia kuzalisha nishati, changamoto ni joto linalohitajika na gharama itakayotumika kutakuwa na faida baada ya nishati kuzalishwa?
Kampuni ya kimarekani ya Helion energy sasa wanaweza zalisha 150 million degree Celsius, Helium inahitaji 400 million degree Celsius, huoni ni hatua nzuri?