Elon Musk ataka WFP waeleze namna watakavyopambana na njaa kwa Dola Bilioni 6

Elon Musk ataka WFP waeleze namna watakavyopambana na njaa kwa Dola Bilioni 6

Sasa Hawa WFP wajielewa huo mkwanja wakaimaliza njaa duniani wao watafanya kazi gani tena

Njaa lazima iwepo Ili kuchangamsha dunia, sema waipunguze kutoka njaa ile ya kuua, ibaki hii njaa ya kawaida tu ya kutufanya kutafuta mkate wa kila siku kwA mbinde

Ile njaa ya sudani, kongo hapana kwA kweli
 
Hiyo ni lugha ya kuombea fedha. Si kweli kwamba wakizipata hizo fedha basi wataondoka kabisa njaa hapa Duniani. Laiti angesema fedha hiyo itasaidia kupunguza tatizo hilo la njaa.
 
Bilionea Elon Musk amewataka wanaoshughulika na Mradi wa Chakula Duniani (WFP) kuonesha namna dola Bilioni 6 itakavyoondoa tatizo la njaa duniani

Mkurugenzi wa WFP, David Beasley aliomba fedha hiyo kutoka kwa matajiri hao akisema itatosha kuondoa tatizo la njaa duniani

Musk ana utajiri wa Dola bilioni 311, ameahidi kutoa hela hiyo ikiwa mpango utakuwa wazi wa namna zitakavyotumika

===

Elon Musk, the world’s richest man, challenged a United Nations official’s claim that just a small percentage of his wealth could help solve world hunger.

Musk was responding to comments by David Beasley, director of the UN’s World Food Programme, who repeated a call last week following an earlier tweet this month asking billionaires like Musk to “step up now, on a one-time basis.”

Beasley specifically called for action from Musk and Amazon.com Inc. co-founder Jeff Bezos, the two men atop the Bloomberg Billionaires Index. Just $6 billion could keep 42 million people from dying, Beasley said.

If the World Food Programme, using transparent and open accounting, “can describe on this Twitter thread exactly how $6B will solve world hunger, I will sell Tesla stock right now and do it,” Musk wrote in a Twitter post.

Musk is CEO of the electric-vehicle company, which last week joined the handful of companies valued at more than $1 trillion.

The $6 billion amount would be just a small fraction of Musk’s current net worth of $311 billion -- and less than the $9.3 billion his wealth increased on Oct. 29 alone, according to the billionaires index
WFP watoe mpango kazi wa kumaliza njaa na ukieleweka Beberu anafungua wallet.
 
Naungana na wewe ila over time rate ya kuongezeka kwa utajiri wake itkuwa normal Kwa sababu auto mobile manufacturer wengi wa German wanao mkakati mzito kuwa ifikapo mwaka 2030 wasiwe na injini za petrol and diesel washift kwenda kwenye hybrid hii ni Kwa sababu za kimazingira Kwa hio litakuwa na ushindani mkali wa soko la bidhaa yake hata kwenye stock market kutoka makampun mengine kama vw, Benz , Audi nk ni mawazo tu Kavirondo
 
Tajiri wa dunia Elon Musk ameivunja rekodi ya kuwa Mtu wa kwanza katika historia Duniani kuwahi kuvuka utajiri wa USD Bilioni 300, hii ni baada ya utajiri wake kuongezeka kwa USD Bilioni 10 baada ya hisa za Tesla kupanda.

Utajiri wa Musk umefikia USD Bilioni 302 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bloomberg Billionaires' Index, hisa za Tesla zilipanda baada ya kutangaza dili la magari mapya 100,000 na kampuni ya kukopesha Magari ya Hertz.

Kwa utajiri huo Musk anamzidi zaidi ya USD Bilioni 100 Tajiri wa pili wa dunia Jeff Bezos ambaye ana utajiri wa USD Bilioni 199, sio tu kamzidi Bezos bali kazizidi Nchi nyingi duniani kwenye pato la Taifa la mwaka.

View attachment 1994224
Halafu waje wajinga wavivu wa kufikiri waseme huo utajiri wametoa Afrika wakati ni self made riches from self source
 
$b6

Nyie mabilionea wetu bongo mmesikia hiyo

Ova
 
Back
Top Bottom