Mshenzi? Hebu toa ushahidi kuwa ni mshenzi kwa statement hata 1 ya kishenzi aliyowahi kuitamka. Usitake watu wengine wamuone mshenzi kwa sababu wewe umemuona mshenzi, ni ushamba.
Mkuu next time usijaribu kupinga kitu ambacho huna uhakika nacho, bila shaka utakuwa mgeni kwenye haya mambo jaribu kufuatilia account yake ya twitter sababu huyu genius hayupo instagram wala facebook.
Huyu jamaa aliwahi kumuita british cave diver "pedo guy", now pedo inamaanisha pedophile kwa kiswahili ni mtu anayebaka watoto na hii kesi ilienda mpaka mahakamani sababu ni defamation ila kwa pesa na ushawishi wake jamaa ameshinda.
sasa kama hii statement sio ushenzi basi utakuwa na definition yako ya neno "ushenzi".
Pia amemock bill gates' company kwa kuiita macrohard>>microsoft
Pia ammock grimes kwa kuandika “Pronouns suck"
Pia kuna jamaa alimpongeza kwamba anafanya mambo makubwa na kuendelea kuonyesha ubabe wa america kwenye maswala ya technology..
Then yeye akajibu "I'm from south africa, you DumbAss".
Huyu jamaa hajali wewe ni nani yeye atakujibu anavotaka na humfanyi chochote, anaishi anavyotaka, anafanya anachotaka.
jamaa ni mshenzi mwenye akili, pesa na ushawishi. jamaa ana confidence, resilience, relentless pia ni ferocious.
He doesn't give two shits about what you say or what you think. yeye atasaidia watu au hatosaidia watu na wala hajali kama unamchukulia ni mtu mwema au ni mshenzi.
Huyu jamaa ndio anatakiwa awe role model wako nashangaa utakuta mtu anasema role model wake ni diamond mimi najiliza ni yule mkata viuno?
nabaki nashangaa like what the hell is wrong with you man?
sasa kama hizi statements sio ushenzi basi utakuwa na definition yako ya neno "ushenzi".
Now niambie kati ya mimi na wewe nani mshamba, Karibu duniani sasa au niseme kwenye Internet.