Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha
Aise mm mhuni tu hapa ila ukiniambia
Hela kiasi fulani ukatachopewa utaifanyia nini
Kwenye kilimo nk
Ntatitiririka na hapo ndipo tatizo la umachinga
Bongo litakwisha
Ova
HahahahaWapo waliojaaliwa kuomba
Yaani asiulizwe unataka nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka mmoja wa maraisi alienda Oman kwa Qaboos enzi zile
Yaani alivyokuwa anashikashika makochi na kuangalia chandeliers utajua tu anaonyesha njaa
Lakini alirudi na msaada
Na lengo langu ni hilo nione km je ingefunguliwa mijadala maeneo tofaut kujadil hilo swalaHuna pesa hivyo isingeonakana kama yenye maana. Unajua kuna muda muda hata maprofesa uwa wanazungumza mambo ya kawaida lakini kwakuwa kaongea profesa yanaonekana ya maana.
Mkuu jamaa ni atheist means hamuamini mungu, sasa inakuwaje mungu ambariki mtu asiyemuamini na kumuacha anayemuani? basi huyo mungu hana akili.
Na mnasema mtu asiyemuani mungu ni mpumbavu, basi kwa definition yenu wafuasi wa dini huyu jamaa ni mpumb
Mkuu jamaa ni atheist means hamuamini mungu, sasa inakuwaje mungu ambariki mtu asiyemuamini na kumuacha anayemuani? basi huyo mungu hana akili.
Na mnasema mtu asiyemuani mungu ni mpumbavu, basi kwa definition yenu wafuasi wa dini huyu jamaa ni mpumbavu.
Mkuu tutafute hela acha kupoteza muda kufuatilia watu kama Elon kikubwa tutafute helaMkuu next time usijaribu kupinga kitu ambacho huna uhakika nacho, bila shaka utakuwa mgeni kwenye haya mambo jaribu kufuatilia account yake ya twitter sababu huyu genius hayupo instagram wala facebook.
Huyu jamaa aliwahi kumuita british cave diver "pedo guy", now pedo inamaanisha pedophile kwa kiswahili ni mtu anayebaka watoto na hii kesi ilienda mpaka mahakamani sababu ni defamation ila kwa pesa na ushawishi wake jamaa ameshinda.
sasa kama hii statement sio ushenzi basi utakuwa na definition yako ya neno "ushenzi".
Pia amemock bill gates' company kwa kuiita macrohard>>microsoft
Pia ammock grimes kwa kuandika “Pronouns suck"
Pia kuna jamaa alimpongeza kwamba anafanya mambo makubwa na kuendelea kuonyesha ubabe wa america kwenye maswala ya technology..
Then yeye akajibu "I'm from south africa, you DumbAss".
Huyu jamaa hajali wewe ni nani yeye atakujibu anavotaka na humfanyi chochote, anaishi anavyotaka, anafanya anachotaka.
jamaa ni mshenzi mwenye akili, pesa na ushawishi. jamaa ana confidence, resilience, relentless pia ni ferocious.
He doesn't give two shits about what you say or what you think. yeye atasaidia watu au hatosaidia watu na wala hajali kama unamchukulia ni mtu mwema au ni mshenzi.
Huyu jamaa ndio anatakiwa awe role model wako nashangaa utakuta mtu anasema role model wake ni diamond mimi najiliza ni yule mkata viuno?
nabaki nashangaa like what the hell is wrong with you man?
sasa kama hizi statements sio ushenzi basi utakuwa na definition yako ya neno "ushenzi".
Now niambie kati ya mimi na wewe nani mshamba, Karibu duniani sasa au niseme kwenye Internet.
Hapo bado sana maana alikadiriwa kuwa na zaidi ya dola bilioni 500 na mali zake nyingi kama akiba ya dhahabu huko nchini Mali na maelfu ya mifugo haikupigiwa hesabu. Aidha, thamani ya pesa za sasa ni ngumu sana kuithamanisha na ya enzi ya Mansah Mussa. Ya sasa haina nguvu kama ya kale.Kwahyo rekodi ya Mansa Mussa imevunjwa?
Kabisa, haijawahi na huenda isije kuvunjwa!Haijawahi vunjwa kaka subir mambo ya Forbes
Kabisa!Yule ustaadh alikua na utajiri wa 400B usd, mpe heshima yake...
Kwani hizi pesa kwa kwetu (za madafu) sio trionea
Kule ndo bado ajawahi trionea huku kwetu tayari ni trionea (kwa fedha zatu)
kwani ni wapi biblia imesema mpumbavu hawezi pata Mali?.Mkuu jamaa ni atheist means hamuamini mungu, sasa inakuwaje mungu ambariki mtu asiyemuamini na kumuacha anayemuani? basi huyo mungu hana akili.
Na mnasema mtu asiyemuani mungu ni mpumbavu, basi kwa definition yenu wafuasi wa dini huyu jamaa ni mpumbavu.
kuna uhusino gani kati kuhama Dunia na kuishi milele?.Hivi ule mpango wake wa kuhama dunia ndionakienda kule ataishi milele?
Utajiri wake upo kwenye asset/ share....Gari zikipata tu shoti ya umeme,utasikia hisa zimeshukua kwa Asilimia 50 na sasa Ni Tajiri wa 7 Duniani kwa utajiri wa $150
Mambo ya stocks na hisa mzeeHuu utajiri wao unatuchanganya kesho tu unaweza sikia kapoteza 60 Billion Dollars.
Jamaa ana mambo mengi sana mara Space X mara gari za umeme mara boring company mara artificial intelligence mara degocoin........... kwa speed ya huyu jamaa (Musk); soon anaenda kuwa trillionaire wa kwanza duniani.
Mansa Musa ni kama Sulemani wa biblia...Walikuwa na hela kipindi chao lakini hamna mtu mwenye ushahidi wa thamani ya utajiri wao,,,kwahyo figure kama 400B ni makadirio tu ya mashekhe na usishangae elon akifika huko wakasema Mansa Mussa alikuwa na 1 trillionKumbe ELON bado ana shughuli pevu