Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Musk kasema ikiwa shirika la kupambana na njaa linataka msaada wa 6B ili kumaliza tatizo la njaa, basi waeleze jinsi wanavyoweza kulimaliza tatizo hilo, kuwapa 6B sio deal sana kwake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaRais naona ataomba za kupandia miti
Anasema hiyo ni pesa ya mafuta tu kwake tena ya gari moja [emoji41][emoji41]Kwani mo dewji anasemaje kuhusu hilo
Kusaidia njaa au kusaidia chakula?Beberu linataka kusaidia njaa duniani
Waarabu sasa, yaani wanautajiri usio na jasho lakini wame-mute kama hawajui Afgans, Syria, na zingine kama wanamajanga!!Wazungu pamoja na ushetani wao lkn Kwenye suala la kutoa sadaka wanaongoza..... ndiyo maana wanabarikiwa Tu
Kuna baraka nyingi sana kwenye kutoa sadaka.Wazungu pamoja na ushetani wao lkn Kwenye suala la kutoa sadaka wanaongoza, ndiyo maana wanabarikiwa Tu
Akifikisha thamani ya US$ tirioni 1 ndiyo ataitwa tirionea.Awe mara ngap?
Jamaa Ana mkwanja mbwa haruki, anaye mfuata kwa utajiri Ana nusu ya utajiri wake
Mkuu Dinazarde , mimi kila nikifikiria kuhusu njaa (hasa kwa Tanzania), na niijuavyo hii ardhi yetu na hali ya hewa ya nchi yetu, napata shida kuamini kama kweli tunakuwa tunapata viongozi au mfano wa viongozi.Daaa hili tatizo toka mdogo haliishi bora Elon kaingilia namuaminia sana jamani
Kama ambavyo hao wajinga na wavivu wa kufikiri wanasema sisi wana Kilimanjaro utajiri wetu ni wa wizi na ufisadi, wakati ni wa kuhangaikia sana.Halafu waje wajinga wavivu wa kufikiri waseme huo utajiri wametoa Afrika wakati ni self made riches from self source
Ushetani gani mkuu huo kama wao ndio wamemumbua shetani?Wazungu pamoja na ushetani wao lkn Kwenye suala la kutoa sadaka wanaongoza, ndiyo maana wanabarikiwa Tu
Kwani hizi pesa kwa kwetu (za madafu) sio trioneaAkifikisha thamani ya US$ tirioni 1 ndiyo ataitwa tirionea.
Kwa sasa bado ni bilionea kwani thamani yake ni US$ 300 bilioni.
Huyu ni mtu kama wewe mkuu except amekuzidi pesa na vitu vingine muhimu.Beberu linataka kusaidia njaa duniani
Tatizo jamaa walimaliza njaa hilo shirika linabidi life maana litakosa kazi😅😅😅Musk kasema ikiwa shirika la kupambana na njaa linataka msaada wa 6B ili kumaliza tatizo la njaa, basi waeleze jinsi wanavyoweza kulimaliza tatizo hilo, kuwapa 6B sio deal sana kwake!
Waarabu a wazungu wote hawakuju wewe.Waarabu sasa, yaani wanautajiri usio na jasho lakini wame-mute kama hawajui Afgans, Syria, na zingine kama wanamajanga!
Acha kabisa katika mambo haya kishetani kipengele cha kwanza kabisa katika kusaini mkataba wa kishetani ni lazima umsaidie msaada mtu yeyote mwenye kuhitaji aliye karibu nawe,pili ukarimu kwa kila mtuWazungu pamoja na ushetani wao lkn Kwenye suala la kutoa sadaka wanaongoza..... ndiyo maana wanabarikiwa Tu
Nah, hili tatizo mpaka dunia inaisha halitoisha.Daaa hili tatizo toka mdogo haliishi bora Elon kaingilia namuaminia sana jamani
😂😂😂Kama TASAF bongo
Viongozi ndio shida ardhi ipo ya kutosha ilitakiwa mashamba yalimwe chakula kiwe bei ndogo kila mtu amuduMkuu Dinazarde , mimi kila nikifikiria kuhusu njaa (hasa kwa Tanzania), na niijuavyo hii ardhi yetu na hali ya hewa ya nchi yetu, napata shida kuamini kama kweli tunakuwa tunapata viongozi au mfano wa viongozi.
Inafikirisha na inasikitisha sana.