Elon Musk ataka WFP waeleze namna watakavyopambana na njaa kwa Dola Bilioni 6

Sasa Hawa WFP wajielewa huo mkwanja wakaimaliza njaa duniani wao watafanya kazi gani tena

Njaa lazima iwepo Ili kuchangamsha dunia, sema waipunguze kutoka njaa ile ya kuua, ibaki hii njaa ya kawaida tu ya kutufanya kutafuta mkate wa kila siku kwA mbinde

Ile njaa ya sudani, kongo hapana kwA kweli
 
Hiyo ni lugha ya kuombea fedha. Si kweli kwamba wakizipata hizo fedha basi wataondoka kabisa njaa hapa Duniani. Laiti angesema fedha hiyo itasaidia kupunguza tatizo hilo la njaa.
 
WFP watoe mpango kazi wa kumaliza njaa na ukieleweka Beberu anafungua wallet.
 
Naungana na wewe ila over time rate ya kuongezeka kwa utajiri wake itkuwa normal Kwa sababu auto mobile manufacturer wengi wa German wanao mkakati mzito kuwa ifikapo mwaka 2030 wasiwe na injini za petrol and diesel washift kwenda kwenye hybrid hii ni Kwa sababu za kimazingira Kwa hio litakuwa na ushindani mkali wa soko la bidhaa yake hata kwenye stock market kutoka makampun mengine kama vw, Benz , Audi nk ni mawazo tu Kavirondo
 
Halafu waje wajinga wavivu wa kufikiri waseme huo utajiri wametoa Afrika wakati ni self made riches from self source
 
$b6

Nyie mabilionea wetu bongo mmesikia hiyo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…