Mkuu,Kwa emotional intelligence na IQ kubwa aliyo nayo si tatizo kwake maisha yanaendelea. Wenye chuki ndio wanaumia wenyewe.
Tena siyo kweli kabisaSio kweli
huwezi kufanikiwa kwa kuzungukwa na chawaSio kweli
Mkuu, shukurani sana kwa ufafanuzi.Mkuu,
Elon Musk ana matatizo ya afya ya akili yanayoondoa Emotional Intelligence.
Inaelekea huelewi emotional intelligence ni nini.
Emotional intelligence ni pamoja na kujali feelings za wengine.
Elon Musk ana Asperger's Syndrome. Hili jambo kasema mwenyewe.
Asperger's Syndrome inamuondolea mtu uwezo wa kujali feelings za wengine.
Mtu ambaye ana tatizo la kujali feelings za wengine hawezi kuwa na emotional intelligence kubwa.
You have it backwards.
B btoHapa mjini bonge la dada anaongoza Kwa kuchukiwa zaidi na watu
elewaHapa mjini bonge la dada anaongoza Kwa kuchukiwa zaidi na watu
Anytime.Mkuu, shukurani sana kwa ufafanuzi.
Sikuwahi kufahamu kuhusu Asperger's Syndrome. Leo ndio nimeisoma itabidi kuichimba zaidi.