Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Kwa sababu wengi wao ni mafukara choka mbaya, hohehae, pangu pakavu tia mchuzi.Habari hizi waafrika hasa watanzania wa mtukula wanapenda kuzishabikia
Dalili ya kwanza ya umaskini ni chuki dhidi ya matajiri.
Hii wabongo wengi wanayo sana.