Elon Musk awa kinara wa kura za maoni za mtu aneyechukiwa zaidi Marekani

Watu kama wale huwa wanaishi kwenye upeo mwingine zaidi ya watu wa kawaida.
Ukiwachukia wewe ndie utakaeumia wanaitwa independent person na sio dependent people.
Yaani wanaishi kwa akili zao na sio kwa hisia zao.
Hawapo kwenye level za maumivu.
Nadharia za kuumia zipo kwa level ya masikini
 
Kujali hisia za wengine kivipi.
 
Anaishi ndoto zake na haishi utajiri wake, yaani kwke utajiri sio ishu big deal bali anachojali ni kutimiza tu ndoto zake.
Aishi kwa kufuata matakwa ya jamii inaitwa matrix kwa sababu aendeshwi na nje bali ujiendesha tokea ndani mwake
 
Kujali hisia za wengine kivipi.
Yani mtu ambaye, kwa mfano, hafikirii sana nikisema hili, huyu mtu ninayemuambia ni nani, atajifikiriaje, ninawezaje kumwambia kwa namna nzuri zaidi, kitu ninachotaka kusema, hata kama ni ukweli, kitamuathiri vipi.

This is a lack of introspection, a lack of emotional intelligence.
 
Elon Musk anaweza kutumika kama mfano wa msemo huu “when you live long enough to become the villain”
 
Duh!! Elimu ni kitu kizuri sana kwahiyo kumbe kutokujali wengine ni ugonjwa wa akili?

Sema sisi walokole tuna amini mtu ambaye hajali wenziye huyo ana roho ya shetani na mtu ambaye anajali wenziye huyo ana roho wa MUNGU
 
Mkuu, shukurani sana kwa ufafanuzi.

Sikuwahi kufahamu kuhusu Asperger's Syndrome. Leo ndio nimeisoma itabidi kuichimba zaidi.
Huyu jamaa anayeitwa nzunya Kiranga ana madini mengi sana kichwan Kuna siku moja niliichukua comment yake nikaenda nayo kijiwen nikaifanya topic, pale kijiweni watu wote waliniogopa sana na kuzan labda mimi ni msomi sana kumbe ni comment ya kiranga tu
 
Elon musk hajui kuishi vizuri na watu! Unaambiwa jamaa hatoi hata mia kwa masikini.
Anaharibu ajira za wengine bila ustaarabu.
Jamaa ni tajiri ila hapendeki
 
Kumbe wachukia matajiri mpk America wapo sio bongo tu..!!
 
Elon musk hajui kuishi vizuri na watu! Unaambiwa jamaa hatoi hata mia kwa masikini.
Anaharibu ajira za wengine bila ustaarabu.
Jamaa ni tajiri ila hapendeki
Sasa atoe mia za kazi gani? Hao maskini si wajitafutie nao za kwao km rahisi 😹😹😹
 
Sasa atoe mia za kazi gani? Hao maskini si wajitafutie nao za kwao km rahisi 😹😹😹
Ukiwa mtu mashuhuri ,una wajibu fulani kwa jamii ,maana wateja(wanajamii) wamechangia utajiri wako.

Kurudisha kwa jamii ni kama kuanzisha foundation.Kutoa misaada ya fedha(mikopo nafuu) nk.

Ila masikini nao tujitafute 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…