Elon Musk awa kinara wa kura za maoni za mtu aneyechukiwa zaidi Marekani

Habari hizi waafrika hasa watanzania wa mtukula wanapenda kuzishabikia
Kwa sababu wengi wao ni mafukara choka mbaya, hohehae, pangu pakavu tia mchuzi.

Dalili ya kwanza ya umaskini ni chuki dhidi ya matajiri.

Hii wabongo wengi wanayo sana.
 
Hahaaa.

Comment gani hiyo mkuu?

Asante kwa kushukuru.
 
Kawaidaa xnaa matajir kuchukiwa
Na maskini
Na hio haiwasumbui
 
Hata bilgate aliposhika number moja watu wslimchukia na kumzushia mambo ya new world order
.asa mmbongo unamchukia Elon musk huoni ni kujipa matatizo ya moyo tuh
 
Hata bilgate aliposhika number moja watu wslimchukia na kumzushia mambo ya new world order
.asa mmbongo unamchukia Elon musk huoni ni kujipa matatizo ya moyo tuh
Bill gates anajulikana bila ya kik.
 
Umetisha
 
Umegundua leo ?
Sasa nikupe siri nyingine kuhusu yeye ? Ni kuwa nimekulia mtaa mmoja na yeye alafu hilo najua halitoshi zile komenti zake za kingereza mwenzio uwa nazichukia nikiwa na vikao vya watendaji wa kijiji uwa naanza kuzisoma kabla ya kuongea kiswahili ni hapo utakuta wanabaki kunishangaa na kutapakaza habari mtaani mimi nimesoma nje πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa atoe mia za kazi gani? Hao maskini si wajitafutie nao za kwao km rahisi 😹😹😹
Ukiwa tajiri au mfanya biashara kuna kitu kina itwa social responsibility kurudisha sehemu ya faida kwa jamii
 
Warren Buffet hachukiwi na watu.
Wapo wanaomchukia
Hata ww mtaani kwako huezi pendwa na wote
Unaeza saidia mtu alaf akakuona kma unazarau ndio maisha yalivo
 
Wapo wanaomchukia
Hata ww mtaani kwako huezi pendwa na wote
Unaeza saidia mtu alaf akakuona kma unazarau ndio maisha yalivo
Umeelewa uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…