Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Magu, Trump, Elon Musk, walipingwa sana na dunia ila ndo vile ishaandikwa “watu wanaangamia kwa kukosa maarifa”.
 
Hii inaongelea pandemic response na sio whether hiyo covid 19 ni scam.

Kiingereza ni shida kwa vijana wa kayumba.
Nilidhani mimi pekee akili yangu kwenye kujua kizungu cha uingereza ina shida. Kumbe na wewe umeliona hilo😂😂
 
Watu hawasemi tuu, ila waliochanja wanaugulia kimya kimya.

Na jamaa yangu mmoja majuzi alinambia, "I'm dying", alikwenda ER wakamwambia ana ugonjwa wa moyo, (umekuwa dhaifu). Yaani wakati mwingine miguu yake inavimba, iliniuma sana, hasa nikikumbuka nilivyomshauri mara kadha (2021) asichanje.

Hongera Nafaka kwa ushuhuda, tukikaa kimya kuhusu matatizo ya chanjo haitasaidia.
 
COVID19 ilikuwepo kweli kwa sababu watu walikufa.Lakini chanjo za viwandani zilikuwa feki au hazikuwa na uwezo wa kutosha kuzuia maambukizi.
 
Kwaniyeye alikufakwaugonjwa gani tuanzihapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…