Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaona yule Nyamera zinamtosha?Museveni hadi leo anavaa barakoa
watu wanakufa kila siku kwa magonjwa mbalimbalisaSa watu waliokufa kwa mamia walikufa kwa ugonjwa gani?
Hewa ina uchafu mwingi, ni sahihi yeye kuendelea kuvaa barakoa.Museveni hadi leo anavaa barakoa
Ameuliwa na ssm wenzake.Jiwe je alikufa kwa HOFU pia?
Nilidhani mimi pekee akili yangu kwenye kujua kizungu cha uingereza ina shida. Kumbe na wewe umeliona hilo😂😂Hii inaongelea pandemic response na sio whether hiyo covid 19 ni scam.
Kiingereza ni shida kwa vijana wa kayumba.
Jiwe je alikufa kwa HOFU pia?
Kwaniyeye alikufakwaugonjwa gani tuanzihapoUsiseme alikuwa ya wote mkuu utakuwa unakosea,mimi niliikata covid mapema kabisa na hii ilichangiwa na kazi nilikuwa naifanya wingi wa watu na pia wala sikujali sanitizer wala barakoa na nilidunda tuhata wezangu pia,kuja kwa taarifa ya Magu kulisherehesha tu nilichokuwa nakiamini mimi na hapo ndipo jamaa nilimkubali sana lkn kabla nilikwa nampinga mnoo tena mnoo