Elon Musk is a croock freemason ushahidi umewekwa wazi the code X is debunked

Ushauri wangu jikite mbali sana na hii mitandao ya kijamii na pia epuka kutumia majina yako halisi,tarehe halisi ya kuzaliwa pamoja na mwaka utanishukuru kumbuka usiweke picha zako wewe na familia yako pia. Hawa watu wanajua kila kitu.
Okay!.... kutumia hiyo mitandao sio vibaya labda kuanika taarifa zako muhimu ndio inaweza kuwa makosa.
 
Mitandao yote ni Yao uwakwepi labda uache kutumia simu uwe unatumia sanduku la posta
 
Huu ujinga upo mpaka leo?
Tafuta pesa bro, hacha kuita watu majina mabaya kwa vile wana pesa ndeefu, na wewe huna,
Kwa, mwendo huu, mtoto atakae zaliwa Leo, akifikisha miaka 25,atasema Diamond ni freemason, kwa vile tu atamkuta ana pesa ndeefu, watu wanaumiza vichwa, wewe unashinda unaomba Mungu! Akupe V8, bila kutoa jasho.
 
True Kuna msanii maarufu bongo Huwa namponda kuna siku nilimuota ndotoni kanitembelea tupo location.
Maana yake nini au niwahi kukanyaga mafuta kawe.
 
Mimi nashauri Elon musk aje tumuuze Tanganyika Tena kwa Bei chei ili atuletee maendeleo
 
Kwa tafsiri ya nje.
Ili neno secret society why secret ndio uleta ukakasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…