eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Moja Kati ya watu wapuuzi ni mwandishi 😃😁.
👉 Usikute ana kaa kwa shemeji yake😁😃🤒
👉Mtu ana project ambazo ziko wazi, magari ya umeme nayo Ni free Mason 😁🤔
👉Barabara ya chini kwa chini nayo Ni free masson 😁🤔
👉Safari za anga nazo ni free Mason🤔😁
👉 Tweeter na Facebook lengo SI dunia ikonect we una hisi nini??
👉Halafu usikute dogo ana kaa kwa shemeji, na mla nyeto mkubwa mshamba_hachekwi 🤒
Huna haja ya kupambana naye, yeye ameamua kuishi katika ulimwengu wa kufikirika. Anaongelea kuhusu freemason, wakati hata maana yake haijui.
Ameongelea vitu vya kawaida sana katika kujiepusha. Mfano anasema usiweke utambulisho wako kamili katika mitandao ya kijamii. Hilo tangu hii mitandao inakuja tulisha elimishwa hapo. Na ndiyo maana tunawashauri vijana wasiwe waraibu wa mitandao na kuweka bayana maisha yao ya kawaida. Ni hatari, maana watu wasio na malengo mema wanaweza kuzitumia visivyo.