Elon Musk: My wife is a Robot

Elon Musk: My wife is a Robot

Kwa lugha nyingine ni kwamba Elon Musk kajiboreshea namna ya kupiga nyeto.

Ukiachana na u-agent wake kwa Shetani, huyu Elon anawezaje kuwashawishi watu waachane na papuchi halisi wahangaike na midoli? Yaani papuchi halisi zilivyo tamu niachane nazo kwa teknolojia za kishetani shetani? Siyo mimi aiseee.
Pengine nayo itakuwa tamu kuliko binadamu ikiingia jaribu uone, hakuna kulinga, kunuka kikwapa, mdomo, kuchelewa,mara period ya ghafla unaenda site ukiwa na uhakika.
 
Kuna raha yake mwanamke anaponionea wivu, Kuna raha yake pale tunalumbana na kupatana, Kuna raha yake mwanamke anaponionesha madeko, Kuna raha ya kipekee tunapokaa na kujadiri mustakabali wa mambo yanayotuzunguka. Kuna raha yake ninaposhikwa ni kimuhemuhe kuona mwanamke wangu anavyotamaniwa na wakora anavyotembea, anavyoshirikiana na kuongea na watu wengine. Mungu aliweka haya yote ili kuufanya upendo kati ya jinsia mbili ubaki wa KIPEKEE. Robot hawezi kuyafanya haya yote so daima nitampenda mwanamke halisi na hata kuwafundisha watoto wangu kubaki katika NATURALITY.
Hivyo vyote inategemea mtu na mtu, ukiona watu wanaenda kwenye madanguro je ni wote wanaweza kwenda
 
Mwanaume kupata watoto na mwanamke ni jambo ambalo halizuiliki na ni ngumu sana mwanamke kuweka mgomo eneo hilo sababu hata yeye anataka mtoto.

Shida ni nyie wanawake kugeuza mahusiano fursa ya kujipatia kipato ili kutatua shida zenu ambazo ukizitazama hazina umuhimu wa kupewa kipaumbele kwa namna nyie mnazipa kipaumbele.

Sisi wanaume hatuna shida kuishi na mwanamke akiwa anajitambua na hana drama za kitoto, awe focused kwenye maisha tu na sio kuchuna mwanaume, kufuja pesa zake, kulazimisha mahitaji yake binafsi kuwa kipaumbele kwa mwanaume, kulazimisha attention hata muda ambao anatakiwa kuprovide space ya kufanya mambo mengine ya kifamilia, etc.

Hizi kero ndizo zinatufanya wanaume tuone mzigo sana kudeal na wanawake binadamu sababu Wanawake ninyi mnaona kuwa kuleta drama, visa, maghubu, vituko, na fujo kwenye mahusiano ni sehemu ya mahusiano jambo ambalo si kweli.


Sasa ngoja bwana Elon Musk atutengenezee pisi zetu hizi. Nakuwa nae kabatini. Mwanamke akileta za kuleta nalitoa kabatini, naliwasha natandika godoro tunaanza kupeana utamu. Sitaki kelele wala kuingiliwa na "my wangu robot"
Wanawake lazma wationea wivu hii midoli🤣
 
Kwa marobot hutaona watu wakipinga, mbna ndo watashangilia sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Roboti hilo limepita bila kupingwa maana si utelezi wa mbunye unakuwepo bila mizinga wala kero. Napiga nyagi yangu kisha nikirudi home naenda kulizagamua kisha nalala zangu.
 
Mtahangaika mtarudi tu, Sisi Og, kuku wa kienyeji ndo tupo.....
Mmeuliza huo mdoli unajua kununa? Unaweza kuomba hela ya vikoba? Unajua kutwerk na kuangusha moja moja? Una gubu? Unaweza kuifinyia Kwa ndani? Unasquirt?
Mtarudi tu....tupo tumekaa paleeee, nyie jihangaisheni.
Sie wenyewe vidildo vimetushinda🤣🤣🤣 manake hata haviwezi kutuslap kwenye wowowooo🤣🤣🤣 achilia mbali haviombeki hela🤣🤣🤣
Hahahah huyo robot hajaja kuwa replace ila amekuja kuleta ushindani jimboni.

1.Haombi hela.
2.Hacheat na mwanaume mwengine
3.Hachoki yani show show dakika yeyote unaliamsha.
4.Hana magonjwa ya ngono
5.Hana gubu na misuso
6.Halogi mume
 
Mnamshanga elon musk bure, haya mambo hata kwa waafrika yalikuwepo, kwa wale mliotahiriwa mkiwa wakubwa ukipona tu zoezi la kwanza ni kuchongewa boga tundu saizi yako ulishughulikie kama mwanamke. Baada ya zozi hilo ndio utakuwa tayari umeiva kumshughulikia mwanamke halisi
Boga lilivyo gumu vile 🤣🤣🤣 bora hata tikiti maji
 
Hilo kwa bongo itakuwa ngumu..umeme unakata kata sanaa ...unaeza jiandaa kwenda kuzagamua..unakuta umeme umekataa...labda alete na vijenereta kama mmbadala
Sasa ukimchaji siku 3 anakaa mwezi mzima na chaji we una shida gani. Kuna umeme unakatikaga mwezi mzima?
 
Fulsa kama Fulsa. Unawapangishia na vyumba kabisa. Unatengeneza Uwanja wako mdogo wa Fisi[emoji23]
Unawaweka kwenye lodge yako tu mtu akihitaji huduma unampatia moja akaserebuke nalo aache ya uchakavu buku 20 tu akapambane nalo hadi kunapokucha uone kama serikali haijawapandisha kodi wakafika million 50 per doll.
 
Hahahah huyo robot hajaja kuwa replace ila amekuja kuleta ushindani jimboni.

1.Haombi hela.
2.Hacheat na mwanaume mwengine
3.Hachoki yani show show dakika yeyote unaliamsha.
4.Hana magonjwa ya ngono
5.Hana gubu na misuso
6.Halogi mume
ww kijana umemaliza yote

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kum replace ni chap tu kwa kutumia Ai unaweza kusadifu character zake kama huyo robot ana hisia ukimuudhi anakumaindi. Ishu kubwa hataweza kuzaa

Mkuu, Mfano unapochelewa kurudi mkeo huwa anakusubiri sebuleni na kanga moja halafu ukiingia anaongea sana huku akilalamika. Baba naniii kweli, kwelii unarudi saa tisaa kweli? Na vimachozi na gubu na hasira.

Hili roboti ukichelewa kurudi mpaka uliwashe liwake uingize password ndo liangalie mda lianze igizo lake kuwa umechelewa halafu the fact kwamba likianza kuongea unaweza chomoa battery likanyamaza basi imeshashindikana kumreplace na mwanamke.

Kuna hisia binadamu tumeumbwa nazo si rahisi kuzireplace na mashine.

Ila ni plan B nzuri sana kuliko kuwa na mwanamke mwenye nia ovu.
 
Back
Top Bottom