Elon Musk: My wife is a Robot

Pengine nayo itakuwa tamu kuliko binadamu ikiingia jaribu uone, hakuna kulinga, kunuka kikwapa, mdomo, kuchelewa,mara period ya ghafla unaenda site ukiwa na uhakika.
 
Hivyo vyote inategemea mtu na mtu, ukiona watu wanaenda kwenye madanguro je ni wote wanaweza kwenda
 
Wanawake lazma wationea wivu hii midoli🤣
 
Kwa marobot hutaona watu wakipinga, mbna ndo watashangilia sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Roboti hilo limepita bila kupingwa maana si utelezi wa mbunye unakuwepo bila mizinga wala kero. Napiga nyagi yangu kisha nikirudi home naenda kulizagamua kisha nalala zangu.
 
Hahahah huyo robot hajaja kuwa replace ila amekuja kuleta ushindani jimboni.

1.Haombi hela.
2.Hacheat na mwanaume mwengine
3.Hachoki yani show show dakika yeyote unaliamsha.
4.Hana magonjwa ya ngono
5.Hana gubu na misuso
6.Halogi mume
 
Boga lilivyo gumu vile 🤣🤣🤣 bora hata tikiti maji
 
Hilo kwa bongo itakuwa ngumu..umeme unakata kata sanaa ...unaeza jiandaa kwenda kuzagamua..unakuta umeme umekataa...labda alete na vijenereta kama mmbadala
Sasa ukimchaji siku 3 anakaa mwezi mzima na chaji we una shida gani. Kuna umeme unakatikaga mwezi mzima?
 
Fulsa kama Fulsa. Unawapangishia na vyumba kabisa. Unatengeneza Uwanja wako mdogo wa Fisi[emoji23]
Unawaweka kwenye lodge yako tu mtu akihitaji huduma unampatia moja akaserebuke nalo aache ya uchakavu buku 20 tu akapambane nalo hadi kunapokucha uone kama serikali haijawapandisha kodi wakafika million 50 per doll.
 
Hahahah huyo robot hajaja kuwa replace ila amekuja kuleta ushindani jimboni.

1.Haombi hela.
2.Hacheat na mwanaume mwengine
3.Hachoki yani show show dakika yeyote unaliamsha.
4.Hana magonjwa ya ngono
5.Hana gubu na misuso
6.Halogi mume
ww kijana umemaliza yote

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kum replace ni chap tu kwa kutumia Ai unaweza kusadifu character zake kama huyo robot ana hisia ukimuudhi anakumaindi. Ishu kubwa hataweza kuzaa

Mkuu, Mfano unapochelewa kurudi mkeo huwa anakusubiri sebuleni na kanga moja halafu ukiingia anaongea sana huku akilalamika. Baba naniii kweli, kwelii unarudi saa tisaa kweli? Na vimachozi na gubu na hasira.

Hili roboti ukichelewa kurudi mpaka uliwashe liwake uingize password ndo liangalie mda lianze igizo lake kuwa umechelewa halafu the fact kwamba likianza kuongea unaweza chomoa battery likanyamaza basi imeshashindikana kumreplace na mwanamke.

Kuna hisia binadamu tumeumbwa nazo si rahisi kuzireplace na mashine.

Ila ni plan B nzuri sana kuliko kuwa na mwanamke mwenye nia ovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…