Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Yaani musk ana kautoto flani hiviNi suala la muda tu watatemana na Trump😃
Akitoka SA mwambie amtafute Makamu wetu wa kijaniVita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji
Kuna video niliiona walikuwa wanamchambuaYaani musk ana kautoto flani hivi
Huu ni ushahidi tosha, lazima awekwe pembeniKuna video niliiona walikuwa wanamchambuaView attachment 3230798
Elon na Julius wote zimefyatukaSema binadamu tuna kauchizi kidogo hata huyu Musk kuna namna si mzima.
Hatari sana kwahiyo wamekutana.🤣Elon na Julius wote zimefyatuka
Elon musk ni kaburu,huko ukaburuni,makaburu wanataka kunyang'anywa ardhi igawiwe kwa weusi,japo siyo yote,maana ardhi hiyo mababu wa makaburu waliwanyang'anya mababu wa weusiSababu ni USAID? Au?
Ni mpumbavu tangu siku nyingi,ugonjwa wa kuabudu matajiri ulikua unakusumbuaNimewahi kuwa fan mkubwa wa Elon na alikuwa Moja ya role models wangu ila kwa sasa Kawa mpumbavu sana.
Mnatatizo gani na huyo jamaaWe Nyangwis nakulia Timing nimalize mitihani nibaki Kijobless sina kazi masaa 24 Jf nianze kukushughulikia kikamilifu 'Maarasmitayo' una weekend Moja ya kutamba jukwaani.
Elon na Malema wote ni southafricans .So wanafahamiana backgrounds zaoVita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini.
Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka Malema awekewe vikwazo na kuitwa muhalifu wa kimataifa.
View: https://x.com/elonmusk/status/1888589439334584813?t=wHocRLFjKscoyu_td3wIwg&s=19
Naye Malema akamjibu hapa chini ya Post yake na kumuita "mwehu" kazi ipo
View: https://x.com/Julius_S_Malema/status/1888598694175412246?t=j9g0AzKZvih41s7f6VLUcQ&s=19
Hapa tajiri mbwatukaji Elon anazidi kukazidi katika accounts mbalimbali kweli kachafukwa" Elon kimwili yupo US ila kiakili bado yupo kwa Madiba
View: https://x.com/elonmusk/status/1888592034686005738?t=KV_7Qc5sEMmzAvlldGWcbg&s=19
Hata Mimi naona Mana Wote Wapenda Publicity, Hawa hawatakaa sehemu MojaNi suala la muda tu watatemana na Trump😃
Hahaha 😅🤣😆We Nyangwis nakulia Timing nimalize mitihani nibaki Kijobless sina kazi masaa 24 Jf nianze kukushughulikia kikamilifu 'Maarasmitayo' una weekend Moja ya kutamba jukwaani.
Tech brosNimewahi kuwa fan mkubwa wa Elon na alikuwa Moja ya role models wangu ila kwa sasa Kawa mpumbavu sana.
Refa awe Lissu patanogaElon na Julius wote zimefyatuka