Elon Musk na Julius Malema ndani ya vita kali ya maneno. (Huyu Elon toka apewe rungu anaenda kuchanganyikiwa)

Elon Musk na Julius Malema ndani ya vita kali ya maneno. (Huyu Elon toka apewe rungu anaenda kuchanganyikiwa)

Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji
Akitoka SA mwambie amtafute Makamu wetu wa kijani
 
Yaani musk ana kautoto flani hivi
Kuna video niliiona walikuwa wanamchambua
1000022188.jpg
 
Nimewahi kuwa fan mkubwa wa Elon na alikuwa Moja ya role models wangu ila kwa sasa Kawa mpumbavu sana.
 
We Nyangwis nakulia Timing nimalize mitihani nibaki Kijobless sina kazi masaa 24 Jf nianze kukushughulikia kikamilifu 'Maarasmitayo' una weekend Moja ya kutamba jukwaani.
Mnatatizo gani na huyo jamaa
Maana anakuandama sana kila Post lazima akutaje
 
Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini.

Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka Malema awekewe vikwazo na kuitwa muhalifu wa kimataifa.

View: https://x.com/elonmusk/status/1888589439334584813?t=wHocRLFjKscoyu_td3wIwg&s=19

Naye Malema akamjibu hapa chini ya Post yake na kumuita "mwehu" kazi ipo

View: https://x.com/Julius_S_Malema/status/1888598694175412246?t=j9g0AzKZvih41s7f6VLUcQ&s=19

Hapa tajiri mbwatukaji Elon anazidi kukazidi katika accounts mbalimbali kweli kachafukwa" Elon kimwili yupo US ila kiakili bado yupo kwa Madiba

View: https://x.com/elonmusk/status/1888592034686005738?t=KV_7Qc5sEMmzAvlldGWcbg&s=19

Elon na Malema wote ni southafricans .So wanafahamiana backgrounds zao
 
Malema kama hizo twit ni zake kweli basi jamaa ni mpumbavu na hafai kubaki uraiani, unaposema wazungu wauawe ni ishara ya kuwa huna akili. Yeye na makaburi wa kipindi Cha apartheid hawana tofauti
 
Elon Musk pamoja na Hela ila still ana ushamba Fulani anahisi Na yeye ni Rais sasa Kila swala analitolea tamko anataka kuwa Popular Kuliko mwenye Kiti chake TRUMP,
Nimeona Watu wa Democratic akina Nacy Pelosi wameanza Kushutumu Kuwa elon anatakiwa awe regulated na Power yake iwe Checked
 
Back
Top Bottom