Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Elon anamiliki Twitter anayoitumia atakavyo kufanya propoganda zake na za Trump.Elon hii vita itammaliza kibiashara ameingia choo cha kike tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elon anamiliki Twitter anayoitumia atakavyo kufanya propoganda zake na za Trump.Elon hii vita itammaliza kibiashara ameingia choo cha kike tayari.
hakuna mwanzo lisilo na mwisho chini ya jua kuna jambo litamkuta pamoja na nguvu aliyonayo. cc. HitlerElon anamiliki Twitter anayoitumia atakavyo kufanya propoganda zake na za Trump.
KWAKWELI!Musk ni allien
View attachment 3228914
Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣
Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti utendaji swafi wa serikali, aka DOGE, ni 'hacker' mmoja mwenye umri wa miaka 19, kwa jina Edward Coristine anayetambulika zaidi kwa jina lake la kihuni mitandaoni la 'BIG BALLS'!
Wakubwa hawajafurahishwa kabisa, hasa FBI, PENTAGON na CIA, kupekuliwa taarifa zao na wahuni wa mitaani akina 'BIG BALLS' na wenzie wengi! 🤣
USA KUMOTO!
View: https://youtu.be/R1w6k5yitUU
View: https://youtu.be/sRtyM24MPls
And if it's touched, someone will be massaged really wellCIA will not be touched
... jamaa wamejitoa, sasa wanatia timu PENTAGON, FBI & CIA!Mtu atachezea risasi ya ajabu kama ya JFK si muda mrefu
We subiri... jamaa wamejitoa, sasa wanatia timu PENTAGON, FBI & CIA!
🤣
Tunaisubiri sana hii movie.....Mtu atachezea risasi ya ajabu kama ya JFK si muda mrefu
WATU WAKO BUSY!
Ndio inatakiwa iwe hivyo kwa hio mlitaka awaajiri Wazee wakina Mzee Wasira hilo ni fumbo kwa Kizimkazi🤣🤣🤣 dunia inachangamka sasa
Research upya takwimu zako utaelewa kwanini Musk kaitwanga USAID sababu kuna waafrika wanachota hizo hela na viongozi wao kisha wanasema za kwao hawasemi zimetolewa na Serikali ya Marekani Kizimkazi moja wapoUSAID ni 0.6% ya budget ambapo ni 40 bilioni dollars wakati Medicaid ambayo ni zaidi ya 2 tillioni dollars ambapo wanasema kuna upigaji wa kufa mtu mbona hajaenda huko?
Hiyo siyo sababu kabisa.Research upya takwimu zako utaelewa kwanini Musk kaitwanga USAID sababu kuna waafrika wanachota hizo hela na viongozi wao kisha wanasema za kwao hawasemi zimetolewa na Serikali ya Marekani Kizimkazi moja wapo
Si walimkosa kipindi cha kampeni?Mtu atachezea risasi ya ajabu kama ya JFK si muda mrefu
Sijaelewa rudia tenaHiyo siyo sababu kabisa.
Wao wanadai pesa zinapigwa huko huko na wao kupitia USAId ndiyo maana ukitazama vyombo vya Marekani wanacheka baadhi ya kiradi ya USAID mfano, dollar milioni 50 za condom gaza