Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno.
Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii