Elon Musk: "Trump yuko kwenye file la Epstein hii ndio sababu ya msingi haijawekwa hadharani."

Hakuna kunuka hapo ujawahi kuishi na wazungu sio samia ao.
Wenzetu wanaweza kuchanana makavu na siku wakapata jibu moja.
Sio huku raisi hakishikwa na taarabu tu anakutoa kwenye vyeo
 
Nyani Ngabu Tulikuambia hapa kuwa hao Mafahari wawili hawawezi Kukaa zizi Moja kwanza wote wanapenda Sifa na Attention
Trump ni 'user' anatumia mtu pale anapokuwa na manufaa nae, matumizi yakiisha anakutupilia mbali.

Elon ni mfanyabiashara, kila kitu anakiangalia kwa jicho la faida. Aliwekeza katika urafiki na Trump akiamini kutakuwa na faida kwenye biashara zake.

Kilichotokea ni dhamira mbili zinazokinzana kutoka kwa mafahali wawili.
 
Waambie wakaangalia movies ya The Apprentice 😅
 
Trump ni 'user' anatumia mtu pale anapokuwa na manufaa nae, matumizi yakiisha anakutupilia mbali.

Elon ni mfanyabiashara, kila kitu anakiangalia kwa jicho la faida. Aliwekeza katika urafiki na Trump akiamini kutakuwa na faida kwenye biashara zake.

Kilichotokea ni dhamira mbili zinazokinzana kutoka kwa mafahali wawili.
Hii Misunderstanding yao haitaharibu Kweli Biashara za Musk
 
Kuna kitu hamjakijua bado fungueni macho yenu.. hapo hamna ugomvi hao watu burudani Yao kubwa ni kuona Dunia nzima inawafuatilia angalia muda mfupi tokea Sasa mtandao wake Wa x utakavyoongeza mapato.. Chochote atakachokifanya Sasa Elon musk kitapata tension kubwa na ndio target Yao anachokifanya trump ni kumpa company swahiba wake hao watu Wana akili kubwa
 
GsvUWmNb0AAwpVl.jpeg
 
Back
Top Bottom