Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hatari hii 😅😅Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno.
Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
View attachment 3357361
Haya maisha haya.Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno.
Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
View attachment 3357361
Huku yule chizi hana akili timamuWenzetu wataparuana mpaka wachoke ingekuwa huku kesho jamaa ana kesi za kodi na siyo raia wa USA