Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Yani badala ya hips na mzigo ndo nishike hayo machuma?? Hata wakiweka ngoz mzigo OG ni OG mazee sijashawishika, na likikupiga shoti katikati ya mjegejo? Me bado team human mbususu sanaa
 
Mashoga tu ndio watakuwa nyuma ya hili
 
Kwahiyo kupitia huyo Mwanamke Robot anaweza kushika Mimba na kuzaa?

Hakuna atakayeweza kufikia hata robo ya uwezo wa Mungu abadani.

Mambo mengine ni kujilisha Upepo tu, asema Mfalme Suleiman kwenye kitabu cha Mithali
 
Huyo mulastar kawapiga kamba.
Hizo picha zimetengenezwa kwa kutumia ARTIFICIAL INTELLIGENCE (AI).
Elon mwenyewe anahimiza watu kuzaana halafu atengeneze mwanamke wa roboti .
Japo sikatai uwezekano wa roboti(mdoli) la kike kuboreshwa zaidi.
 
Hawa walioletwa na Mungu wameshakuwa makasha tu hata Mungu anasikitika, wamekataa nafasi zao kwenye jamii.
Bora waletwe hao, ilu hawa tulio mao sasa wawe huru mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…