Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Kama mtu anaamua kuwa shoga na wanawake walivyokuwa wengi hivi,atashindwaje kwenda kununua liroboti.limrobotuwe, hiyo haina tofauti na kupiga nyeto
 
Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz

NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]View attachment 2625084
Mzungu anajua kuitengeneza fulsa na kuitumia vilivyo. Kama hili ni kweli, basi ndio majibu ya sera ya haki sawa. Haki sawa waliileta na ndoa nyingi zimecurugika kwa sababu hio na vijana hawataki tena kuoa.

Kama hili ni kweli basi walikua wanaipika fulsa na sasa inaelekea kuiva. Watapiga hela ilivyo watu wamechoshwa na akina mwajuma wasaka fulsa
 
Yani badala ya hips na mzigo ndo nishike hayo machuma?? Hata wakiweka ngoz mzigo OG ni OG mazee sijashawishika, na likikupiga shoti katikati ya mjegejo? Me bado team human mbususu sanaa
Daaah ukipigwa short.....utaongezea mzuka mkuu
 
Back
Top Bottom