Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 362
- 569
Duuuh! Dunia imefika ukingoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachina watacopyDah aiiiisee sema bei Iko juu tu, wapunguze wafanye million 5 tu Kila mtu ajinunulie
Ukiugua anakutengenezea ka uji na kukupeleka hospital akuuguze auRipoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.
Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.
Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.
Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)
Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz
NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]View attachment 2625084
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe we ni Me?
Unawekaje profile picture "PP" ya kike ilihali we ni Me?
Hahaaa! Kama mimi, duh! comments za wadau ni balaa sanaNimecheka sana [emoji23]