Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Hii taarifa nimeiona Fb ila sikutegemea kama nitaikuta huku the home of great thinkers [emoji848]

Mtoa mada ungetuwekea na source ya taarifa, ubuyu ungenoga sana.
Nmeweka....angalia vzr mwisho
 
Kwahiyo kupitia huyo Mwanamke Robot anaweza kushika Mimba na kuzaa?

Hakuna atakayeweza kufikia hata robo ya uwezo wa Mungu abadani.

Mambo mengine ni kujilisha Upepo tu, asema Mfalme Suleiman kwenye kitabu cha Mithali
Kwa ajili ya sex
 
Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz

NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]View attachment 2625084
Si atengeneze na mme Roboti?Halafu duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume.Tena wanaongeza wanawake Robot kwelli.
 
Vipi mchanganyo/kwa mpalange robot anatoa?
 
Saafi maana WAnawake WA Sasa ni bandia 50% na bado wanataka watambuliwe kama 100% origin
 
Si atengeneze na mme Roboti?Halafu duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume.Tena wanaongeza wanawake Robot kwelli.
Ukiitafakari kwa kina, unaweza kudhania kwamba huenda hizi ni juhudi za jinsia 'me' kuhakikisha 'ke' wanabaki kuwa wanyonge. Yaani mkileta maringo hatubembelezi, kuna mbadala wa kufanya mapenzi ambaye hakuna viapo wala dhamana yoyote, ukimnunua ndio umemaliza.

Hitaji la mwanamke litabaki tu kwa wale wanaohitaji familia labda na wacha Mungu.
 
Si atengeneze na mme Roboti?Halafu duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume.Tena wanaongeza wanawake Robot kwelli.
Bado haitabalance

Coz mwanaume ana pesa .....anashida ya mbususu

Mwanamke ana mbususu.....but anahitaji pesa
 
Back
Top Bottom