Elon Mussa wa Kenya, aomba kukutanishwa na baba ake Elon Musk

Nanukuu
"Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk.

Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk alipotembelea hapa.

Sasa ninaishi katika umaskini uliokithiri licha ya baba yangu kuwa bilionea wa dola." amesema Kijana huyo kutoka Nchini Kenya .

Una maono gani msomaji🤔
View attachment 2933303
Na alaaniwe anayeuza bange na ngada
 
Siku hiyo mbegu ilijaa afya sijui jamaa alilishwa nini kabla ya mechi
 
Back
Top Bottom