Elton John amefikia makubaliano ya kumlipa aliyekua mke wake £ milioni 3 kwa kuvunja makubaliano ya talaka yao

Change tu😬😬😬 what the hell
 
Change tu😬😬😬 what the hell
Unapewa
Naomba Sky Eclat aje atupe history kidogo ya yeye kuitwa hivyo
Sir ni jina unalopewa na Malkia kwa heshima ya kufanya kitu chenye manufaa kwa jamii. Heshima hii inaitwa knighthood, unaweza kupewa knighthood kwa kuokoa maisha ya watu katika hatari, kushinda tunzo la michezo na kuliletea taifa sifa nk.

Elton John alitunga mwimbo wa Candle in the Wind wakati wa kifo cha Diana. Pamoja na maombolezo mwimbo huu ulikuwa faraja kwa taifa katika kipindi kigumu.
 
Mwenyewe anahadithia baada ya divorce alianza kugawa tako bila breki, yaani mpaka leo anashukuru vile akuivagaa miwaya.
Sema sisi walimwengu tunamwona Elton John kama mtu wa ajabu sana.

Ila anaempiga mashine tunamchukulia poa tu.

Binafsi hata sielewi, inakuwaje mwanaume unachukua mwanaume mwenzio kwenda kupiga mashine.
 
Sema sisi walimwengu tunamwona Elton John kama mtu wa ajabu sana.

Ila anaempiga mashine tunamchukulia poa tu.

Binafsi hata sielewi, inakuwaje mwanaume unachukua mwanaume mwenzio kwenda kupiga mashine.
Haya ni maigizo tu ili kuwapoteza maboya
 
Hawa watu wana ela jamani. Ila nadhani hakuna taraka ambayo imevunja rekodi ya Benzos yule mmiliki wa Amazon kwa pesa aliyomlipa mkewe.
Nasikia pia kuna mtifuano wa custody ya watoto kati ya Mfalme wa Dubai na mkewe aliyemkibia Princess Haya, na nasikia taraka yao inaweza kuvunja rekodi pia.
 
Yule mama alilimbilia London akakaa 5* hotel bill inatumwa kwa mume wake.
 
Yule mama alilimbilia London akakaa 5* hotel bill inatumwa kwa mume wake.
Inasemekana kwamba alikuwa analiwa na mlinzi wake. Ila si walipelekana mahakamni london kwa ajili ya custody ya watoto. halafu ujue siye wa kwanza kukimbia, binamu wa mumewe aliwahi kukimbia kwa kusaidiwa na rafiki yake ambaye ni mgermany walikutana mtandaoni, huyo mdada akamtumia jamaa flani ni private detective toka ufaransa.
Mission ikaenda poa wakamtorosha kutoka dubai akafanya kosa dogo wakiwa kwenye boat baharini akawasha simu akawatumia msg kuwa ameondoka, within minutes helcopter ziliwazunguka wote wakakamatwa. Ila hao wengine waliachiwa ila yeye hakuwahi kuonekana kwa miaka 3 mfululizo hadi wakawa wanahisi labda aliuwa. Alikuja kuonekana mara moja alipofanyiwa mahojiano na mwanaharakati wa Kimarekani na baada ya hapo akapotea tena.
Na mwanaharakati huyo ansema alihisi kila alichokuwa anajibu alikuwa kafundishwa.
 

Baada ya divorce kumuumiza akaona isiwe tabu, akaamua kuwa shoga kabisa [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…