Elton John amefikia makubaliano ya kumlipa aliyekua mke wake £ milioni 3 kwa kuvunja makubaliano ya talaka yao

Elton John amefikia makubaliano ya kumlipa aliyekua mke wake £ milioni 3 kwa kuvunja makubaliano ya talaka yao

Kaka fikiria vile ambavyo huwezi kula chakula unachokipenda kutokana na matatizo ya kiafya. Huyu mama inaelekea aliona mengi sana na aliamua kumtoa jamaa katika maisha yake kabisa. Uje usikie anakuongelea kwenye historia ya maisha yake.

Lakini £ milioni 3 kwa Elton John ni change tu.
Change tu😬😬😬 what the hell
 
Change tu😬😬😬 what the hell
Unapewa
Naomba Sky Eclat aje atupe history kidogo ya yeye kuitwa hivyo
Sir ni jina unalopewa na Malkia kwa heshima ya kufanya kitu chenye manufaa kwa jamii. Heshima hii inaitwa knighthood, unaweza kupewa knighthood kwa kuokoa maisha ya watu katika hatari, kushinda tunzo la michezo na kuliletea taifa sifa nk.

Elton John alitunga mwimbo wa Candle in the Wind wakati wa kifo cha Diana. Pamoja na maombolezo mwimbo huu ulikuwa faraja kwa taifa katika kipindi kigumu.
 
Mwenyewe anahadithia baada ya divorce alianza kugawa tako bila breki, yaani mpaka leo anashukuru vile akuivagaa miwaya.
Sema sisi walimwengu tunamwona Elton John kama mtu wa ajabu sana.

Ila anaempiga mashine tunamchukulia poa tu.

Binafsi hata sielewi, inakuwaje mwanaume unachukua mwanaume mwenzio kwenda kupiga mashine.
 
Sema sisi walimwengu tunamwona Elton John kama mtu wa ajabu sana.

Ila anaempiga mashine tunamchukulia poa tu.

Binafsi hata sielewi, inakuwaje mwanaume unachukua mwanaume mwenzio kwenda kupiga mashine.
Haya ni maigizo tu ili kuwapoteza maboya
 
Ingekuwa bongo Elton angekuwa mfuasi wa chadema [emoji23]
Kama huyu
Shaka-Hamdu-Shaka.jpg
 
Elton John na Renate Blauel walifunga ndoa mwaka 1988 iliyodumu kwa miaka minne. Wakati wana achana walikubaliana kuwa kila mmoja hataongelea tena ndoa yao hiyo na walifunga mjadala.

Mwaka 2019 Elton John alivunja makubaliano hayo akiwa anaandika historia ya maisha yake. Renate Blauel alianza kuchukua hatua za kisheria kiangazi kilichopita na wamefikia makubaliano Elton John atamlipa £million 3.

View attachment 1600617
View attachment 1600618
Hawa watu wana ela jamani. Ila nadhani hakuna taraka ambayo imevunja rekodi ya Benzos yule mmiliki wa Amazon kwa pesa aliyomlipa mkewe.
Nasikia pia kuna mtifuano wa custody ya watoto kati ya Mfalme wa Dubai na mkewe aliyemkibia Princess Haya, na nasikia taraka yao inaweza kuvunja rekodi pia.
 
Yule mama alilimbilia London akakaa 5* hotel bill inatumwa kwa mume wake.
 
Yule mama alilimbilia London akakaa 5* hotel bill inatumwa kwa mume wake.
Inasemekana kwamba alikuwa analiwa na mlinzi wake. Ila si walipelekana mahakamni london kwa ajili ya custody ya watoto. halafu ujue siye wa kwanza kukimbia, binamu wa mumewe aliwahi kukimbia kwa kusaidiwa na rafiki yake ambaye ni mgermany walikutana mtandaoni, huyo mdada akamtumia jamaa flani ni private detective toka ufaransa.
Mission ikaenda poa wakamtorosha kutoka dubai akafanya kosa dogo wakiwa kwenye boat baharini akawasha simu akawatumia msg kuwa ameondoka, within minutes helcopter ziliwazunguka wote wakakamatwa. Ila hao wengine waliachiwa ila yeye hakuwahi kuonekana kwa miaka 3 mfululizo hadi wakawa wanahisi labda aliuwa. Alikuja kuonekana mara moja alipofanyiwa mahojiano na mwanaharakati wa Kimarekani na baada ya hapo akapotea tena.
Na mwanaharakati huyo ansema alihisi kila alichokuwa anajibu alikuwa kafundishwa.
 
Before then i loved this song.. Divorce ilimuumiza sana
Kuna uhalisia mwingi sana kaimba kwenye huu wimbo kwenye maisha ya ndoa
..Two souls living together in separate world...[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] I once lived this life[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Baada ya divorce kumuumiza akaona isiwe tabu, akaamua kuwa shoga kabisa [emoji22]
 
Back
Top Bottom