Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Change tu😬😬😬 what the hellKaka fikiria vile ambavyo huwezi kula chakula unachokipenda kutokana na matatizo ya kiafya. Huyu mama inaelekea aliona mengi sana na aliamua kumtoa jamaa katika maisha yake kabisa. Uje usikie anakuongelea kwenye historia ya maisha yake.
Lakini £ milioni 3 kwa Elton John ni change tu.
UnapewaChange tu😬😬😬 what the hell
Sir ni jina unalopewa na Malkia kwa heshima ya kufanya kitu chenye manufaa kwa jamii. Heshima hii inaitwa knighthood, unaweza kupewa knighthood kwa kuokoa maisha ya watu katika hatari, kushinda tunzo la michezo na kuliletea taifa sifa nk.Naomba Sky Eclat aje atupe history kidogo ya yeye kuitwa hivyo
Sema sisi walimwengu tunamwona Elton John kama mtu wa ajabu sana.Mwenyewe anahadithia baada ya divorce alianza kugawa tako bila breki, yaani mpaka leo anashukuru vile akuivagaa miwaya.
Haya ni maigizo tu ili kuwapoteza maboyaSema sisi walimwengu tunamwona Elton John kama mtu wa ajabu sana.
Ila anaempiga mashine tunamchukulia poa tu.
Binafsi hata sielewi, inakuwaje mwanaume unachukua mwanaume mwenzio kwenda kupiga mashine.
Ni Euro hiyo mzee, sio dolariKaribu bilion 7
Mwenyewe anahadithia baada ya divorce alianza kugawa tako bila breki, yaani mpaka leo anashukuru vile akuivagaa miwaya.
Kama huyuIngekuwa bongo Elton angekuwa mfuasi wa chadema [emoji23]
Tumejikuta wengi wageni kwenye hili swala la kuoaHuyu mzee kumbe aliwahi kuoa
Sana[emoji848]Tumejikuta wengi wageni kwenye hili swala la kuoa
Hawa watu wana ela jamani. Ila nadhani hakuna taraka ambayo imevunja rekodi ya Benzos yule mmiliki wa Amazon kwa pesa aliyomlipa mkewe.Elton John na Renate Blauel walifunga ndoa mwaka 1988 iliyodumu kwa miaka minne. Wakati wana achana walikubaliana kuwa kila mmoja hataongelea tena ndoa yao hiyo na walifunga mjadala.
Mwaka 2019 Elton John alivunja makubaliano hayo akiwa anaandika historia ya maisha yake. Renate Blauel alianza kuchukua hatua za kisheria kiangazi kilichopita na wamefikia makubaliano Elton John atamlipa £million 3.
View attachment 1600617
View attachment 1600618
Yule mama alilimbilia London akakaa 5* hotel bill inatumwa kwa mume wake.Hawa watu wana ela jamani. Ila nadhani hakuna taraka ambayo imevunja rekodi ya Benzos yule mmiliki wa Amazon kwa pesa aliyomlipa mkewe.
Nasikia pia kuna mtifuano wa custody ya watoto kati ya Mfalme wa Dubai na mkewe aliyemkibia Princess Haya, na nasikia taraka yao inaweza kuvunja rekodi pia.
Inasemekana kwamba alikuwa analiwa na mlinzi wake. Ila si walipelekana mahakamni london kwa ajili ya custody ya watoto. halafu ujue siye wa kwanza kukimbia, binamu wa mumewe aliwahi kukimbia kwa kusaidiwa na rafiki yake ambaye ni mgermany walikutana mtandaoni, huyo mdada akamtumia jamaa flani ni private detective toka ufaransa.Yule mama alilimbilia London akakaa 5* hotel bill inatumwa kwa mume wake.
Yuro au paundiNi Euro hiyo mzee, sio dolari
Ni pounds sawa na Bilioni tisa rate ikiwa mbaya sana ni nane na nusu.Ni Euro hiyo mzee, sio dolari
Samahani hivo baada ya Diana kufariki Prince Charles aliona tena?Yule mama alilimbilia London akakaa 5* hotel bill inatumwa kwa mume wake.
Before then i loved this song.. Divorce ilimuumiza sana
Kuna uhalisia mwingi sana kaimba kwenye huu wimbo kwenye maisha ya ndoa
..Two souls living together in separate world...[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] I once lived this life[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]