Samahani hivo baada ya Diana kufariki Prince Charles aliona tena?
Lakini hawana watoto sioYes alimuoa Camilla, waingereza hawajawahi kumkubali huyu dada pamoja na juhudi zote alizofanya Prince Charles kumfanya akubalike kwa waingereza. Inasadikika ndiye chanzo cha kuvunjika ndoa kati ya Princes Diana na Prince Charles.
Mwenyewe anahadithia baada ya divorce alianza kugawa tako bila breki, yaani mpaka leo anashukuru vile akuivagaa miwaya.
Lakini hawana watoto sio
Kwanini hawajazaa?Yes hawajazaa
Kwanini hawajazaa?
Asante, mbona umechelewa kujibu hivoNgumu kujua boss, makubaliano ya wawili hayaingiliwi. Lakini pengine hawajajaaliwa kupata zawadi ya mtoto toka kwa muumba.
Sema sisi walimwengu tunamwona Elton John kama mtu wa ajabu sana.
Ila anaempiga mashine tunamchukulia poa tu.
Binafsi hata sielewi, inakuwaje mwanaume unachukua mwanaume mwenzio kwenda kupiga mashine.
Tumejikuta wengi wageni kwenye hili swala la kuoa
Haaaaa Haaaaa 😂nakupenda sanaaaaaa