Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
Samahani hivo baada ya Diana kufariki Prince Charles aliona tena?
Yes alimuoa Camilla, waingereza hawajawahi kumkubali huyu dada pamoja na juhudi zote alizofanya Prince Charles kumfanya akubalike kwa waingereza. Inasadikika ndiye chanzo cha kuvunjika ndoa kati ya Princes Diana na Prince Charles.