Elton John amefikia makubaliano ya kumlipa aliyekua mke wake £ milioni 3 kwa kuvunja makubaliano ya talaka yao

Samahani hivo baada ya Diana kufariki Prince Charles aliona tena?

Yes alimuoa Camilla, waingereza hawajawahi kumkubali huyu dada pamoja na juhudi zote alizofanya Prince Charles kumfanya akubalike kwa waingereza. Inasadikika ndiye chanzo cha kuvunjika ndoa kati ya Princes Diana na Prince Charles.
 
Lakini hawana watoto sio
 
Sema sisi walimwengu tunamwona Elton John kama mtu wa ajabu sana.

Ila anaempiga mashine tunamchukulia poa tu.

Binafsi hata sielewi, inakuwaje mwanaume unachukua mwanaume mwenzio kwenda kupiga mashine.

amini usiamini wale jamaa wanaowapanda wenzao mwisho wa siku hupandwa pia
 
Back
Top Bottom