"Ema The Boy" komalia hapo hapo. Hakuna kung'atuka, Waswahili wasituvurugie nchi yetu

"Ema The Boy" komalia hapo hapo. Hakuna kung'atuka, Waswahili wasituvurugie nchi yetu

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"

Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia hapohapo tena watolee hiyo Mimacho yako kodoo. Lazima wakuogope na wakukimbie.

Kilicho kizuri ni kuwa Bunge letu limegawanyika pakubwa hivyo huko wataaibika wakipeleka mchakato huko. Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
Hawezi kuthubutu kufanya hivyo kwani ni Fedheha kubwa kwake, serikali na nchi.

Lingine hana uhakika kama hilo litakubaliwa na wabunge na ikiwa hivyo atang'atuliwa yeye.

Waswahili wasiivuruge nchi hii hatuna pa kukimbilia.

Source: Jasusi online TV, You Tube.
 
Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"

Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia hapohapo tena watolee hiyo Mimacho yako kodoo. Lazima wakuogoe na wakukimbie.

Kilicho kizuri ni kuwa Bunge letu limegawanyika pakubwa hivyo huko wataaibika wakipeleka mchakato huko. Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
Hawezi kuthubutu kufanya hivyo kwani ni Fedheha kubwa kwake, serikali na nchi.

Lingine hana uhakika kama hilo litakubaliwa na wabunge na ikiwa hivyo atang'atuliwa yeye.

Waswahili wasiivuruge nchi hii hatuna pa kukimbilia.

Source: Jasusi online TV, You Tube.
Tupo akina akina washauri wa bure na hilo tumeisha litolea ushauri wa bure kuwa this time around, 2030 tunataka rais bora na sio bora rais, kwa bahati nzuri mimi namjua rais bora wa Tanzania kwa 2030 https://www.jamiiforums.com/threads...i-mwanamke-kawe-itapaa-kwa-maendeleo.2429678/

Mtu huyu baada ya kusema maneno haya, https://www.jamiiforums.com/threads...30-twende-naye-kwa-utaratibu-ule-ule.2456741/

Kwasababu anayepanga nani awe rais wetu 2030 sio wao, sio wale, wala sio sisi, bali ni YEYE Pekee, hivyo kama ni yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE kuwa rais wetu 2030, then rais wetu wa 2030 ni yeye!.

Nikasema kama kuna watu wabaya wanaotaka kumpiga zengwe ili asiwe yeye, then yule YEYE anaweza kuutumia utaratibu ule ule uliotumika kumpata huyu aliyepo.

P
 
Back
Top Bottom