baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Emma nae mnamkuza tuDr ali juma was not that powerfup plus hakuwah kuwa kwenye top place kama ema
Emma nae mnamkuza tuDr ali juma was not that powerfup plus hakuwah kuwa kwenye top place kama ema
Mkwere kama ilivyo ada ya matapeli wote anasikilizia upepo, akiona upepo uko kwa brother Emma basi naye atajibanza upande huo na kuzidi kumuharibia hippo mvaa shanga. Mkwere anaangalia maslahi yake bonafsi na ya familia yake before anything else.Kumbe wengi hawajajua tatizo la utawala wa Samia. Tatizo ni kwamba yeye Samia hahitaji mwongozo wa katiba wala sheria yoyote kufanya analotaka. Hapo ndipo kilipo kizungumkuti. Kwa nini mnadhani sakata la Nchimbi litamlazimisha kufuata katiba? The only way ambayo Nchimbi atapona (kama kweli wanataka kumwondoa) ni kuwa na support kubwa kwenye TISS na jeshini. Na iwe ni support ya ki-zalendo ile ambayo wahusika wapo tayari kwenda hatua zaidi... na ikibidi waondoe hiki kimama kiuaji na mkwere wake. Scenario nyingine iwe labda Mkwere nia yake ni kukitega kimama na kumpa Nchimbi usukani.
Tunaomba nchi ibaki salamaHii game tamu sana, sidhani kama SM atakubali Best ake EN wkt yeye ndio top top
Kajanja sanaMkwere kama ilivyo ada ya matapeli wote anasikilizia upepo, akiona upepo uko kwa brother Emma basi naye atajibanza upande huo na kuzidi kumuharibia hippo mvaa shanga. Mkwere anaangalia maslahi yake bonafsi na ya familia yake before anything else.
Kiasi fulaniMnawaamini ma CCM?
Tegemea disappointment wakati wowoteKiasi fulani
Ngoja tuoneTegemea disappointment wakati wowote
Hivi hawajapanga nani atapokea kijiti 2030? Nahisi wanalo jina mfukoni yeye Kikwete na Samia.Mkwere kama ilivyo ada ya matapeli wote anasikilizia upepo, akiona upepo uko kwa brother Emma basi naye atajibanza upande huo na kuzidi kumuharibia hippo mvaa shanga. Mkwere anaangalia maslahi yake bonafsi na ya familia yake before anything else.
Kikwete atakuwa na jina kichwani mwake lakini pia atakuwa anaangalia na upepo kwani anaweza kulazimisha jina baadhi ya vingunge wakamgeuka, kikubwa anachofanya ni kuwaharibia wale anaowaona kwamba hawana maslahi kwake. Anaiga yake ya Mchonga alivyowapangua kina Malecela mpaka akabaki Mkapa aliyekuwa amamlenga.Hivi hawajapanga nani atapokea kijiti 2030? Nahisi wanalo jina mfukoni yeye Kikwete na Samia.
Patamu hapo. Samia naye ana wake kichwani. Wakiwa wamemlenga moja wote wawili huyo mgombea ataingia tatu bora ila kushinda ndiyo kama yale ya Magufuli.Kikwete atakuwa na jina kichwani mwake lakini pia atakuwa anaangalia na upepo kwani anaweza kulazimisha jina baadhi ya vingunge wakamgeuka, kikubwa anachofanya ni kuwaharibia wale anaowaona kwamba hawana maslahi kwake. Anaiga yake ya Mchonga alivyowapangua kina Malecela mpaka akabaki Mkapa aliyekuwa amamlenga.
Ngoja tuone 2030Kikwete atakuwa na jina kichwani mwake lakini pia atakuwa anaangalia na upepo kwani anaweza kulazimisha jina baadhi ya vingunge wakamgeuka, kikubwa anachofanya ni kuwaharibia wale anaowaona kwamba hawana maslahi kwake. Anaiga yake ya Mchonga alivyowapangua kina Malecela mpaka akabaki Mkapa aliyekuwa amamlenga.