Sagax
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,276
- 2,688
Watu wa malawi ni binadamu wa hovyo kama nyumbu zero brain, na ndomana wahuni wanawaibia na kuwaua kila siku.(warahisi sana kuhadaiwa na kudanganywa kwa maneno)
Acheni upumbavu na pambanieni malawi yenu wenyewe haijalishi wazee kwa watoto na wanawake kwa wanaume wavulana kwa wasichana.
Watu zaidi ya 70m mnanguvu kubwa sana ya kuitetea malawi yenu na mnauwezo wa kukomesha hao madhalimu ndani ya masaa ishirini na mane TU.
#Hallelujah!!!