Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Mkionesha mchakato wa miamala na jinsi alivyochota au kuzikusanya na kuondoka nazo kwa ushahidi shahidi lazima azitapike.Mmeanza ramli zenu chonganishi, nyie pambaneni na heche ateme bungo!!
Anaweza kuwahiwa Boss. Nyamaza tu wote wawili wapo hatarini mnoo.Wee mjaza tu ππ
Watamfanya kama walicho fanya Dr Ali Juma
Just waitNgonjera
Mara nyingi huwaga mna wajaza hivyo hivyo halafu kikiwalamba mnaishia kulaani tu online πAnaweza kuwahiwa Boss. Nyamaza tu wote wawili wapo hatarini mnoo.
Tupo akina akina washauri wa bure na hilo tumeisha litolea ushauri wa bure kuwa this time around, 2030 tunataka rais bora na sio bora rais, kwa bahati nzuri mimi namjua rais bora wa Tanzania kwa 2030 https://www.jamiiforums.com/threads...i-mwanamke-kawe-itapaa-kwa-maendeleo.2429678/Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia hapohapo tena watolee hiyo Mimacho yako kodoo. Lazima wakuogoe na wakukimbie.
Kilicho kizuri ni kuwa Bunge letu limegawanyika pakubwa hivyo huko wataaibika wakipeleka mchakato huko. Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
Hawezi kuthubutu kufanya hivyo kwani ni Fedheha kubwa kwake, serikali na nchi.
Lingine hana uhakika kama hilo litakubaliwa na wabunge na ikiwa hivyo atang'atuliwa yeye.
Waswahili wasiivuruge nchi hii hatuna pa kukimbilia.
Source: Jasusi online TV, You Tube.
Jacob, Ackson, Mpango, Ema The Boy etal. Ingekuwa mtaani huku ungesikia hajui kuishi na watuHuko ndani kwa moto na fukuto linazidi kupanda
Every body stand up x 5.Acha MIGAMBO iruke na kukanyagana, labda nchi itakaa sawa
Dr ali juma was not that powerfup plus hakuwah kuwa kwenye top place kama emaWee mjaza tu ππ
Watamfanya kama walicho fanya Dr Ali Juma
Yule nae aliondoshwa eeh?Wee mjaza tu ππ
Watamfanya kama walicho fanya Dr Ali Juma