Kumbe ndivyo inavyo kuwa, hivi Ruto alifanya hivi ama kule kwao ni tofauti na huku.Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
CheMmeanza ramli zenu chonganishi, nyie pambaneni na heche ateme bungo!!
Ni Imma the Boy, au Imma the Yuda!!Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia hapohapo tena watolee hiyo Mimacho yako kodoo. Lazima wakuogope na wakukimbie.
Kilicho kizuri ni kuwa Bunge letu limegawanyika pakubwa hivyo huko wataaibika wakipeleka mchakato huko. Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
Hawezi kuthubutu kufanya hivyo kwani ni Fedheha kubwa kwake, serikali na nchi.
Lingine hana uhakika kama hilo litakubaliwa na wabunge na ikiwa hivyo atang'atuliwa yeye.
Waswahili wasiivuruge nchi hii hatuna pa kukimbilia.
Source: Jasusi online TV, You Tube.
Kishasema sio mwepesi kiivyo?Watamkolimba
Hili ndio jambo la MUHIMUEndleeni kusifu juhudi zenu za ndani, ila sisi wananchi imani yetu ipo kwa LISSU na HECHE.
Mna uhakika jamani? mjue mnatia moyo watz hadi twatamani tuchungulie na sie!🫨🫨Huko ndani kwa moto na fukuto linazidi kupanda
Mwakilishi aliyetumwa na kubip kwa kumuita Yuda unaona alivyonangwa? Mambo ni mazito.Kumbe ndivyo inavyo kuwa, hivi Ruto alifanya hivi ama kule kwao ni tofauti na huku.
Hamna namna ya kumtuma mwakilishi?
Waiharibu mara ngapi!.Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia hapohapo tena watolee hiyo Mimacho yako kodoo. Lazima wakuogope na wakukimbie.
Kilicho kizuri ni kuwa Bunge letu limegawanyika pakubwa hivyo huko wataaibika wakipeleka mchakato huko. Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
Hawezi kuthubutu kufanya hivyo kwani ni Fedheha kubwa kwake, serikali na nchi.
Lingine hana uhakika kama hilo litakubaliwa na wabunge na ikiwa hivyo atang'atuliwa yeye.
Waswahili wasiivuruge nchi hii hatuna pa kukimbilia.
Source: Jasusi online TV, You Tube.
Au Kolimba!Wee mjaza tu 😄😄
Watamfanya kama walicho fanya Dr Ali Juma
Binadamu wa ovyo ni pamoja na wewe kuumauma maneno huku umevaa koti la anonymous!Watu wa malawi ni binadamu wa hovyo kama nyumbu zero brain, na ndomana wahuni wanawaibia na kuwaua kila siku.(warahisi sana kuhadaiwa na kudanganywa kwa maneno)
Acheni upumbavu na pambanieni malawi yenu wenyewe haijalishi wazee kwa watoto na wanawake kwa wanaume wavulana kwa wasichana.
Watu zaidi ya 70m mnanguvu kubwa sana ya kuitetea malawi yenu na mnauwezo wa kukomesha hao madhalimu ndani ya masaa ishirini na mane TU.
#Hallelujah!!!
Yeye mwenyewe master wa hizo colimbanization , sio mwepesi kihivyo huyo bwana mkubwa hata kama watamuwin ila ni kwa mikakati mikali sanaWatamkolimba
Hao wahuni wasiwe wanatuletea tu drama kwamba wana migogoro kututoa kwenye reli ,ni ngumu kuamini kwamba Ema Ze Boy na Bibi Msumi wana BIFU.Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia hapohapo tena watolee hiyo Mimacho yako kodoo. Lazima wakuogope na wakukimbie.
Kilicho kizuri ni kuwa Bunge letu limegawanyika pakubwa hivyo huko wataaibika wakipeleka mchakato huko. Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
Hawezi kuthubutu kufanya hivyo kwani ni Fedheha kubwa kwake, serikali na nchi.
Lingine hana uhakika kama hilo litakubaliwa na wabunge na ikiwa hivyo atang'atuliwa yeye.
Waswahili wasiivuruge nchi hii hatuna pa kukimbilia.
Source: Jasusi online TV, You Tube.
Naunga mkono hojaKuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia hapohapo tena watolee hiyo Mimacho yako kodoo. Lazima wakuogope na wakukimbie.
Kilicho kizuri ni kuwa Bunge letu limegawanyika pakubwa hivyo huko wataaibika wakipeleka mchakato huko. Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
Hawezi kuthubutu kufanya hivyo kwani ni Fedheha kubwa kwake, serikali na nchi.
Lingine hana uhakika kama hilo litakubaliwa na wabunge na ikiwa hivyo atang'atuliwa yeye.
Waswahili wasiivuruge nchi hii hatuna pa kukimbilia.
Source: Jasusi online TV, You Tube.
Kumbe wengi hawajajua tatizo la utawala wa Samia. Tatizo ni kwamba yeye Samia hahitaji mwongozo wa katiba wala sheria yoyote kufanya analotaka. Hapo ndipo kilipo kizungumkuti. Kwa nini mnadhani sakata la Nchimbi litamlazimisha kufuata katiba? The only way ambayo Nchimbi atapona (kama kweli wanataka kumwondoa) ni kuwa na support kubwa kwenye TISS na jeshini. Na iwe ni support ya ki-zalendo ile ambayo wahusika wapo tayari kwenda hatua zaidi... na ikibidi waondoe hiki kimama kiuaji na mkwere wake. Scenario nyingine iwe labda Mkwere nia yake ni kukitega kimama na kumpa Nchimbi usukani.Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia hapohapo tena watolee hiyo Mimacho yako kodoo. Lazima wakuogope na wakukimbie.
Kilicho kizuri ni kuwa Bunge letu limegawanyika pakubwa hivyo huko wataaibika wakipeleka mchakato huko. Tena anatakiwa kusimama yeye huko mjengoni akusomee mashitaka.
Hawezi kuthubutu kufanya hivyo kwani ni Fedheha kubwa kwake, serikali na nchi.
Lingine hana uhakika kama hilo litakubaliwa na wabunge na ikiwa hivyo atang'atuliwa yeye.
Waswahili wasiivuruge nchi hii hatuna pa kukimbilia.
Source: Jasusi online TV, You Tube.
AiseeYeye mwenyewe master wa hizo colimbanization , sio mwepesi kihivyo huyo bwana mkubwa hata kama watamuwin ila ni kwa mikakati mikali sana
Uwezo wa kum-Kolimba mtu au kum-Abdul Jumbe au kum-Kigoma Ali Malima alikuwa nao Mchonga, yeye ilikuwa aki-press red button hauchukui round. Mpaka anafariki TISS hierarchy wote walikuwa ni trustees wake but now it's divided.Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"