"Ema The Boy" komalia hapo hapo. Hakuna kung'atuka, Waswahili wasituvurugie nchi yetu

Mkwere kama ilivyo ada ya matapeli wote anasikilizia upepo, akiona upepo uko kwa brother Emma basi naye atajibanza upande huo na kuzidi kumuharibia hippo mvaa shanga. Mkwere anaangalia maslahi yake bonafsi na ya familia yake before anything else.
 
Kajanja sana
 
Hivi hawajapanga nani atapokea kijiti 2030? Nahisi wanalo jina mfukoni yeye Kikwete na Samia.
 
Kikwete atakuwa na jina kichwani mwake lakini pia atakuwa anaangalia na upepo kwani anaweza kulazimisha jina baadhi ya vingunge wakamgeuka, kikubwa anachofanya ni kuwaharibia wale anaowaona kwamba hawana maslahi kwake. Anaiga yake ya Mchonga alivyowapangua kina Malecela mpaka akabaki Mkapa aliyekuwa amamlenga.
 
Patamu hapo. Samia naye ana wake kichwani. Wakiwa wamemlenga moja wote wawili huyo mgombea ataingia tatu bora ila kushinda ndiyo kama yale ya Magufuli.
 
Ngoja tuone 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…