Uchaguzi 2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

Eti hawajawahi kushinda!!

SASA kama hawajawahi kushinda mbona ndio huwa wanaapishwa na kuingia Ikulu?

Wanaapishwa kuingia ikulu baada ya kutumia mbinu tofauti za uchakachuaji na kutumia vibaraka wao wengine wanaoigiza kufanya uchaguzi... vibaraka hao ni pamoja na tume yao ya uchaguzi, vyombo vya dola kama vile polisi na kwa kule Zanzibar ni vikosi vya SMZ n.k.
Mfano mzuri wa mbinu wanazozifanya ni huu:


https://www.facebook.com/
 
kura anatangaz
Hao ni wapiga kura ni
wanahamasa na ni vijana ambao wanajaki ya kwenda kusikila kinacho nadiwa kwa maslahi mapana ya faida yao kama kizazi konachofata kumuka wapiga kura ni million 29 na kati ya hao 15million ni vijana.
kura anatangaza mtu mmoja tu ingawa wanapiga wengi ..ahahhahahaha
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Nakubaliana na utafiti uliofanywa na DW. Kuwa Magufuli Atashinda Kwa 79% zidi ya 19% Kwa mpinzani wake!

Hata Tunduma bado Magufuli ataongoza!

Sjui Chadema mnatumia kigezo kipi jamani, ujue Hadi sasa siwaelewi hivi
 
Ukiangalia Kwa macho unaweza kusema ccm itashinda lakini ukitazama Kwa jicho ia moyoni (wengine wanafahamu) ushindi unaweza kwenda Chadema.Umeona wapi watu wanakuwa na bashasha kila mahali aendapo mgombea?Umeona wapi Chama kilichotekeleza ilani Kwa ufasaha kinatumia nguvu kubwa kuliko Chama ambacho hakijawahi kushoka dola?Kuna kitu hapo kisochoeleweka tuombe tu Mapenzi ya Mungu yatimizwe
 
Moja kwa moja hojani,

Kwa mjibu wa website ya CCM, na Kwa mjibu wa kauli ya mwenezi wa CCM ndugu Hamphuley Polepole, CCM inawanachama wa kudumu M.14+...
Dah!? Mkuu usiwafanye wat wakauelewa upeo wa fikra zako
Hizo ni hesabu ulizosoma drs la ngapi?huoni kwa idadi yk hiyo utakuwa umeshindwa? Kama mko 14 ml wangapi wameishafariki, waliobomolewa nyumba, vyeti feki, ndg zao waliopotea, wenye maisha magumu, nk nk nk mtabaki wangapi?
 
Hapa inabidi mseme ni kwa njia zipi mtatumia kushinda
Mfano: Ccm inawanachama 14.million na wapiga kura ni milioni 29 sasa . kwahiyo tayari tunakula 14m kabla ya kampeni .
Je chadema mmnatumia kigezo gani ?
KUMBUKA KATIKA HAO UNAO WASEMA TAYARI WAMEUMIZWA NA AWAMU HII YA TANO
 
Imefika tu mahali na watu Wanachoka
We miaka 59 yote waongoze wao!!πŸ™„
 
Moja kwa moja hojani,

Kwa mjibu wa website ya CCM, na Kwa mjibu wa kauli ya mwenezi wa CCM ndugu Hamphuley Polepole, CCM inawanachama wa kudumu M.14+...
Kwani CCM watatumia kigezo gani kusema wameshinda!?
 
Hivi ikitokea Kati ya hawa wawili mmoja anakuwa Rais na mmoja kuwa waziri mkuu, mnauonaje huo mchakamchaka jinsi nchi itakavyokimbizwa?

Maana Tundu na Magu, tukiondoa ushabiki, ni kama watoto wa Baba mmoja vile!!
 
Nasikia Leo eti wameenda kuishitaki serikali eti Kwa nini hsijaruhusu mgombea Uraisi binafsi wakati wakijua kabisa Kura zitapigwa keshokutwa Tu

Hiyo ni ishara ya kukubali matokeo na wameshakata tamaa, wanachokifanya ni kuzubaisha Tu uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…